Ednatha
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 489
- 665
Asante kwa somo!Utamu kwanza tunao wenyewe, nyie mnachotupa ni utelezi🤣🤣🤣🤣
Maufundi muhimu maana ukiwa ni style ya kifo cha mende tuu hapana tunakuchoka mapema...so uno nalo muhimu ila halikupi ticket ya kuwekwa ndani. Unaweza kuwa na uno zuri lakini ukishia kuwa mchepuko. Hapo sasa ndio tabia inaangaliwa...je ananiheshimu, ana mchango gani wa ziada ukiondoa burudani pendwa?