Nyie wadada mbona kuwaelewa simple sana, mimi nikimuomba mdada tukutane mahali fulani, mda fulani, (sio sex) akinizungusha au akikataa, automatically ntajua Hanipendi sababu hajavutiwa na muonekano wangu, hivyo, nasepa chap KapeaceMwanamke anaejua janja janja za wanaume na jinsi ya kukabiliana nazo, au kuzipangua basi ujue huyo kashakwepa mishale mingi sana
Tupo wengi ukinikomoa miaka miwili nakusubiri huku nikiendelea kula wengine nikishakuonja tu nasepa zanguMbona wapo sana tuu... [emoji23][emoji23][emoji23]
Comment yangu inawahusu wanawake isome vizuriNyie wadada mbona kuwaelewa simple sana, mimi nikimuomba mdada tukutane mahali fulani, mda fulani, (sio sex) akinizungusha au akikataa, automatically ntajua Hanipendi sababu hajavutiwa na muonekano wangu, hivyo, nasepa chap Kapeace
We jichanganye tu hujatufahamu vizuriWadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji
Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.
Zaidi yeye mwanaume ndo anayeumia nakuandika vijembe kwenye mitandao yake ya kijamii me namchora tu.
Akiona nimepost picha yangu na yeye muda huohuo atampost picha za mwanamke[emoji2].
Ni hayo tu kwa Leo.
Yaani unataka kusema kwamba wanawake hawataki kupelekewa moto? Tulia wewe watunwanasubiri miezi hiyo minne huku ana gegeda mwanamke mwengine.Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji
Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.
Zaidi yeye mwanaume ndo anayeumia nakuandika vijembe kwenye mitandao yake ya kijamii me namchora tu.
Akiona nimepost picha yangu na yeye muda huohuo atampost picha za mwanamke😃.
Ni hayo tu kwa Leo.
Mbna km bado unamtaka kma umeamua kumove on futa non ykeWadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji
Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.
Zaidi yeye mwanaume ndo anayeumia nakuandika vijembe kwenye mitandao yake ya kijamii me namchora tu.
Akiona nimepost picha yangu na yeye muda huohuo atampost picha za mwanamke😃.
Ni hayo tu kwa Leo.
🤔I see!Thaman ya mwanamke ni kumuangalia akiwa amevaa nguo tu vile umbo limejichora ila ukifanikiwa kumuona ndani unaweza kujutia hata kwann umejitesa, kinacho kufanya uendelee kuwa nae ni tabia na mwenendo wake tu ikiwa na tabia nazo ni za hovyo utamuona Kama takataka au ulijiongezea mikosi tu
sahihi, baada ya shoo kinachomvutia mwanaume ni tabiaThaman ya mwanamke ni kumuangalia akiwa amevaa nguo tu vile umbo limejichora ila ukifanikiwa kumuona ndani unaweza kujutia hata kwann umejitesa, kinacho kufanya uendelee kuwa nae ni tabia na mwenendo wake tu ikiwa na tabia nazo ni za hovyo utamuona Kama takataka au ulijiongezea mikosi tu
Kwahiyo usitukariri sana kabla hatujakuvua tutakuthamini ila tukikuvua na tusiporidhishwa na mwenendo wako au kitabia wewe utaendea kutumika Kama kipoozeo tu hata kama umetusumbua miaka 10
Ndio ukweli huo....mwanamke ukishamkojolea mara tatu basi uzuri kwishney...mwanaume akibaki ujue una tabia nzuri🤔I see!
Kwahiyo wewe kupitia mengi inawahusu nini wanawake wote au unataka wanawake wakusaidieje mkuuUsikute ni mwanaune kaandika huu upumbavu.
Yaan unapoteza mb zako kuandaa uzi utakao wacost wanaume wenzako? Ama wew mwenzetu ndio vile tena?..
Anyaway ungeyajuwa magumu wanaume tunapitia wala usingewapa ushauri hao viruka njia, mwanaume mpka anafikia hatua ya kuwa hit&run ujuwe keshachoka na hzo mbanga za wanawake.
Nakushauri waombe Mods wafute huu uzi