Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

Asante kwa somo!
 
Hautujui wanaume wewe[emoji23][emoji23][emoji23].
Hatushindwiiiii✍🏿️
 
Acha kupindisha mada, umesema utamu mnao wenyewe kwetu mnafata utelezi swali langu lipo hapo.
 
Kabla hujawafundisha hio topic ya "usithubutu kukutana tu na ambaye mmeanza nae mahusiano"

Hakikisha ile topic ya "Kuacha kupenda penda hela za bure za mwanaume" wameielewa vizuri kwa asilimia 100% na test zote wamefaulu kwa kiwango cha NECTA.

Otherwise utajichosha tu mtu wangu...😂😂😂 Samahani lakini, maana kuna wanaoliwa kabla hata kuwa kwenye hayo mahusiano
 
#HainaLastSeen
 
Hautujui wanaume wewe[emoji23][emoji23][emoji23].
Hatushindwiiiii✍🏿️
Hahahahah akibana watu wanaachia tu huko side B!

Kuna watu wamekula pisi za chuo baada ya kurudi uraiani zikachapwa na life. Muhuni alikuwa anaingoja tu aicharaze asepe.😂😂😂
 
Sidhani kama watafuata ushauri wako maana wenzako wako kimaslahi zaidi. Hiyo miezi minne mwenzio ameshakusanya kodi ya miezi 6 na idadi nzuri tu ya savanna zimepita kooni kwake.
 
Huwa nashindwa kuelewa miaka miwili hajakupa mbususu ina maana hajisikii ngenye kweli. Anapokusubirisha hiyo miaka.
miwili huko kwengine hagongwi kweli?
 
Umenikumbusha kuna jamaa.yangu alisumbuliwa sana na pisi kali moja hivi, siku kapewa mzigo kakutana na pango mpaka kajiuliza iko ndani kweli ? Ikawa mwanzo na mwisho siku hiyo.
 
Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.
Mwanaume hujisikia vibaya sana (huumia) kuachana bila kutunukiwa mbususu katika mbinu za kivita anakuwa kafeli sana

NB; Msitangulize pesa mbele mtaliwa kimasihara sana maumivu ya pesa husuuzika anapotunukiwa mbususu
 
Unaweza ukasex na mtu akakupendaa sana na unaweza kusex na mtu akakuchukia mazimaaaa
Vijanaacheniizinaaaa[emoji354][emoji354]
Hebu imagine huyo mnae sex akakuchukia mazima ndio mmekuja kusex baada ya kuoana, itakuaje hayo maisha humo ndani? Si bora msex mkichukiana muachane kabla hamjajifunga vitanzi vya maisha?
 
Aisee me ukinizungusha siku nikikukula nakuacha kwa hasira
Ila ukiwah kunipa hata kama nilikuwa na mpango wa kukuacha sikuachi nakuonea huruma atlast tunadate
Ila ukinisunbua tu nitavumilia ili nije kukuonesha jinsi we ni mjinga
Mzee upo kama mimi
 
Unakua hujakomaa tu kwenye hilo suala,,labda kama kuna mahal tumewekeza pamoja lakini sex tu hapana
 
😂😂😂😂😅
Nimeipenda sana hiyo red flag concept...
Kwamba watu wawe makin kusoma indicator kujua kituo kinachofuata ni kulia au kushoto
 



This is what we used to call it “ unpopular truth “ [emoji108][emoji108]

Asomaye na afahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…