[emoji16] hayanaga mkao kwanza... Ukipendana nae we toa tuu hata kama ni siku ya 3, mola akijaalia kuwa mke na Mume mtakuwa tu, mkiachana bs shukuru Mungu, kaa subiri mwengine...
Ww kinachotakiwa ni kutoweka expectations tu. After 2 months waanza sema ww ndo Mume wangu, ww ndo Kila kitu kwangu, siwezi ishi bila ww , [emoji23][emoji23]. Utakufa kibudu. Yakikufata ww jipe rahaa, alimradi tu kuwa muangalifu basi, si Kila mtu wampa. Utamaliza Dunia usipoangalia..
Wapo WAVUMILIVU atakusubiri mpaka ndoa,,, lakini tambua kuwa kwako ni mwaminifu,, nje anapata. Na atakuoa vile vile kama amekupendea muonekano na tabia yako. Wanaume wanaoa si sex tu, huwa Kuna vitu vyao wanaviangalia,,, jipe Raha ukiwa kwenye mahusiano, kama akiondoka ni ameondoka, futa machozi nyanyuka tafuta mwengine. Ishi bila expectations kubwa Toka kwa huyo mwanaume,, utayashinda
NB. Mpaka Leo hakuna aliyefanikiwa kuwajua wanawake, Wala kuwajua wanaume. Wote ni hatujuani. Mapenzi hayatabiriki. [emoji2218][emoji2218][emoji188]