Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Acha tu , yaani kuna rafiki alinoinyesha payslip nikahuzunika sana. Bingwa analipwa laki sita na kitu, hapo ana family ya watoto wa tatu, daah.
Nilijiuliza maswali mengi sana , ila watumishi kiujumla wanamchango mkubwa sana kwa taifa sema serikali inawakandamiza kimalipo.
These days nikiingia ofisi yeyote ya govt huwa nawaachia walau za macho hicho kidogo changu.
Ess unaumia ukiwa wapi?Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.
Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .
Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
HahahahahaHapana,
Nia yangu uuone huu Uzi π
Mpuuzi wabunge wenu Mbona mnashindwa kuwasema kwa kubwabwaja tu bungeni? FoolishNi aibu kwa kweli, ndio maana huduma ni mbovu.
Yaani hata mwisho wa mwezi haujafika mtu analeta thread eti mshahara umechelewa hii inafikirisha sana.
Nimekuja kugundua ndio maana huduma kwenye taasisi nyingi za serikali hususani wizari, sekretarieti za mikoa na halmashauri ni mbovu.
Mfanyakazi anashindwa hata kuweka akiba sasahuyo ataweza kweli hata kufanya maendeleo binafsi kama hata kujenga nyumba kweli?
Yaani mshahara wa mtu unakuwa hands to mouth thing mmh ni hatari kwa kweli na pia inasikitisha sana
Ulitaka iweje kwa ni TZ ni America au South Africa?Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.
Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .
Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Namaanisha kwa hapa dar laki sita sio hela kabisa ukiwa na watoto wa tatu. Ukipiga hesabu utakuta ni survival mode kwa hyo helaMkuu,
Laki sita Ni ndogo?! Tena kila baada ya siku let say 30days
Kwa dar es salaam Ni changamoto sanaa Ila huko pembezoni hio 600,000/= ni kiasi ambacho kinatosha kuku sustain kabisa angalau ukaishi Kama middle income person bila wasiwasi..
600,000/= * 12 month π
Kwa nini uchelewe? Tuanzie hapoHabari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.
Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .
Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Kinyundo cha utosi π€£Hii kali dadeq!! π€£
Ungewawezesha basi hata bilioni 2 hivi za kuwapoza. Siyo tu maneno mengi, halafu pesa hakuna.Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.
Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .
Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Very trueNamaanisha kwa hapa dar laki sita sio hela kabisa ukiwa na watoto wa tatu. Ukipiga hesabu utakuta ni survival mode kwa hyo hela
Ila mikoa mingine naamini ile hela unaishi comfortable bila bugudha na stress kila muda.Very true
πππKinyundo cha utosi π€£
Wewe na asilimia kubwa ya wabunge ni wajinga tu.Mpuuzi wabunge wenu Mbona mnashindwa kuwasema kwa kubwabwaja tu bungeni? Foolish
Walimu kwa sababu ndiyo kundi kubwa kuliko makundi yote ya watumishi wa ummaAsilimia kubwa ya watumishi wanaolipwa pesa ya madafu
Shida inaanza hapo, huwa wanasemwa walimu tu ila watumishi wengi ni njaa tu
Kwa Tanzania kazi ni uvumilivu!Kuna mdau humu huwa anasema Kazi ni kipimo cha utu
Point.Ni aibu kwa kweli, ndio maana huduma ni mbovu.
Yaani hata mwisho wa mwezi haujafika mtu analeta thread eti mshahara umechelewa hii inafikirisha sana.
Nimekuja kugundua ndio maana huduma kwenye taasisi nyingi za serikali hususani wizari, sekretarieti za mikoa na halmashauri ni mbovu.
Mfanyakazi anashindwa hata kuweka akiba sasahuyo ataweza kweli hata kufanya maendeleo binafsi kama hata kujenga nyumba kweli?
Yaani mshahara wa mtu unakuwa hands to mouth thing mmh ni hatari kwa kweli na pia inasikitisha sana
Wa simbaETi kama mfanyakazi vile
Mzigo anaouweka kwenye fixed unaujua?