Nimegundua wafanyakazi wa Tanzania ni njaa sana

Acha tu , yaani kuna rafiki alinoinyesha payslip nikahuzunika sana. Bingwa analipwa laki sita na kitu, hapo ana family ya watoto wa tatu, daah.
Nilijiuliza maswali mengi sana , ila watumishi kiujumla wanamchango mkubwa sana kwa taifa sema serikali inawakandamiza kimalipo.
These days nikiingia ofisi yeyote ya govt huwa nawaachia walau za macho hicho kidogo changu.
Mkuu,
Laki sita Ni ndogo?! Tena kila baada ya siku let say 30days

Kwa dar es salaam Ni changamoto sanaa Ila huko pembezoni hio 600,000/= ni kiasi ambacho kinatosha kuku sustain kabisa angalau ukaishi Kama middle income person bila wasiwasi..

600,000/= * 12 month 😊
 
Jobl
Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.

Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .

Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Ess unaumia ukiwa wapi?
 
Ni aibu kwa kweli, ndio maana huduma ni mbovu.
Yaani hata mwisho wa mwezi haujafika mtu analeta thread eti mshahara umechelewa hii inafikirisha sana.
Nimekuja kugundua ndio maana huduma kwenye taasisi nyingi za serikali hususani wizari, sekretarieti za mikoa na halmashauri ni mbovu.
Mfanyakazi anashindwa hata kuweka akiba sasahuyo ataweza kweli hata kufanya maendeleo binafsi kama hata kujenga nyumba kweli?
Yaani mshahara wa mtu unakuwa hands to mouth thing mmh ni hatari kwa kweli na pia inasikitisha sana
Mpuuzi wabunge wenu Mbona mnashindwa kuwasema kwa kubwabwaja tu bungeni? Foolish
 
Ulitaka iweje kwa ni TZ ni America au South Africa?
Hiyo ndio Hari halisi, haijaanza jsna, ni tangu mkoroni aondoke,
 
Mkuu,
Laki sita Ni ndogo?! Tena kila baada ya siku let say 30days

Kwa dar es salaam Ni changamoto sanaa Ila huko pembezoni hio 600,000/= ni kiasi ambacho kinatosha kuku sustain kabisa angalau ukaishi Kama middle income person bila wasiwasi..

600,000/= * 12 month 😊
Namaanisha kwa hapa dar laki sita sio hela kabisa ukiwa na watoto wa tatu. Ukipiga hesabu utakuta ni survival mode kwa hyo hela
 
Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.

Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .

Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Kwa nini uchelewe? Tuanzie hapo
 
Ungewawezesha basi hata bilioni 2 hivi za kuwapoza. Siyo tu maneno mengi, halafu pesa hakuna.
 
Mpuuzi wabunge wenu Mbona mnashindwa kuwasema kwa kubwabwaja tu bungeni? Foolish
Wewe na asilimia kubwa ya wabunge ni wajinga tu.
Hivi mtu utategemeaje mshahara kiasi hicho hadi uaibike?
Kwani huo mshahara ni wa milele ? Hivi hiyo ajira ikistop ghafla itakuwaje? Hamfikirii kuna kuachishwa kazi, kustaafu au kufa?
Acheni kujilemaza nyie watumishi wa hovyo hovyo.
Inavyoelekea hii serikali ya hovyo ya ccm imetengeneza aina gani ya watumishi wa hovyo na wajinga.
Na hiyo serikali mnayoitumikia ni ya hovyo na ya kipumbavu kama watumishi wake.
Kabisa inavyoonekana hamfikirii kabisa kuajiriwa ni jambo la mpito watumishi kama nyie inavyoonekana hata mkija kustaafu mtakuwa hamna kitu wapumbavu kabisa nyie watu.
Ndio maana mnalalamika kikokoto kikokoto kumbe hamuwekagi hata akiba wajinga kabisa nyie
 
Thread ya kijinga kabisa hii. Hivi hujui mzunguko wa fedha?
 
Ni aibu kwa kweli, ndio maana huduma ni mbovu.
Yaani hata mwisho wa mwezi haujafika mtu analeta thread eti mshahara umechelewa hii inafikirisha sana.
Nimekuja kugundua ndio maana huduma kwenye taasisi nyingi za serikali hususani wizari, sekretarieti za mikoa na halmashauri ni mbovu.
Mfanyakazi anashindwa hata kuweka akiba sasahuyo ataweza kweli hata kufanya maendeleo binafsi kama hata kujenga nyumba kweli?
Yaani mshahara wa mtu unakuwa hands to mouth thing mmh ni hatari kwa kweli na pia inasikitisha sana
Point.
 
Back
Top Bottom