Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Acha tu , yaani kuna rafiki alinoinyesha payslip nikahuzunika sana. Bingwa analipwa laki sita na kitu, hapo ana family ya watoto wa tatu, daah.
Nilijiuliza maswali mengi sana , ila watumishi kiujumla wanamchango mkubwa sana kwa taifa sema serikali inawakandamiza kimalipo.
These days nikiingia ofisi yeyote ya govt huwa nawaachia walau za macho hicho kidogo changu.
Laki sita Ni ndogo?! Tena kila baada ya siku let say 30days
Kwa dar es salaam Ni changamoto sanaa Ila huko pembezoni hio 600,000/= ni kiasi ambacho kinatosha kuku sustain kabisa angalau ukaishi Kama middle income person bila wasiwasi..
600,000/= * 12 month 😊