Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza story mfanyie saplaizIt's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu.
Nimemaliza.
Mkuu ni swala la timing tu muda gani uwe mpole na muda gani uwe na vurugu!,inatakiwa ujue kumsoma kuna muda ukitaka kula Mingo muangalie kama hataki kweli muache lakini Kama ana zile za sitaki nataka mbake!.. muda mwengine muombe kwa upole!.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi kabisa uyo ni mpole ila nikianzisha mapicha anasema poo,ukiwa mpole wakat wote atakuendesha ukiwa mkali wakati wote atakuogopa yan hautokuwa romantic, siku unamuamulia kosa kidog unamleta mshike mshike alafu unampetpet
Kweli shetaki akizeeka anakuwa malaika..😂Punguza story mfanyie saplaizView attachment 2105505
Mungu akubariki sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kweli shetaki akizeeka anakuwa malaika..[emoji23]
Mi nikajua utaleta picha ya hirizi inapumua maana ndivyo unavyowatulizaga hivyo,mapambano yako huwa ni yakiroho zaidi naona mara hii umeamua kubadilika hongera.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pesa sio kila kitu ndugu yangu mwanamke akiamua anakutesa wewe pamoja na pesa zako,akili zako,Mali zako,six packs zako,mpk na maujinga yako nyote mnalizwa..[emoji23]
Ha ha ha....Unakaribia kufa mzee....umeanza kuwaelewa wanawake?!
Skuhzi hamuangalii sura na tabia tena mamii?[emoji4]1.pesa
2.shoo kali
Mkuu hakuna haja ya ufafanuzi Tena hapo we kuwa mpole na uwe navurugu kikubwa timing.Hebu fafanua vizur Uzi wako mkuu.
Ni Upole upi unaizungumzia
Na vurugu zipi unzizungumzia[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app