financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Tunapenda mkaka mpole ila awe na misimamo, huwezi kumuendesha afu awe na kawivu wivu kidogo. Siyo unamwambia leo napitia sehemu anajibu tu sawa babe, tunataka yule mtata, unapitia wapi?, usinijaribu, kufanya nini?, utarudi saa ngapi? Nk. We feel we are loved.kwa mtizamo wangu tu😜