Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

Tunapenda mkaka mpole ila awe na misimamo, huwezi kumuendesha afu awe na kawivu wivu kidogo. Siyo unamwambia leo napitia sehemu anajibu tu sawa babe, tunataka yule mtata, unapitia wapi?, usinijaribu, kufanya nini?, utarudi saa ngapi? Nk. We feel we are loved.kwa mtizamo wangu tu😜
 
Najua nimegusa mulemule sio mtizamo wako tu Tena naongeza sometimes mnapenda na kubakwa..😂
 
Kubakwa tena? Au sijaelewa umeanza kuzingua sasa.
Kuna sisi wabakaji mafundi sivyo hivyo unavyofikiri mbako huu unafaa kufanywa kwa vitendo sio masimulizi!.. watoto bado mnakuwa nyinyi mmekurupukia mapenzi toka machakani huko jitoeni mabuibui kichwani mketi chini tuwafundishe mnakosa vitamu..😂
 
Afu wewe Ka Kenzy unajionaga kakubwaa nani mtoto sasa? Ndiyo maana unaachwa kila siku wewe kwa hizo tabia zako😂
 
Tukiwa ivo hamuchelewi kutuita Cha wivu co Tena babe
 
Pesa sio kila kitu ndugu yangu mwanamke akiamua anakutesa wewe pamoja na pesa zako,akili zako,Mali zako,six packs zako,mpk na maujinga yako nyote mnalizwa..[emoji23]

Unacho kisema ni kweli
 
Afu wewe Ka Kenzy unajionaga kakubwaa nani mtoto sasa? Ndiyo maana unaachwa kila siku wewe kwa hizo tabia zako😂
Mi mkubwa kwako kaa kwa kutulia kabla hujapata bakshishi..😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…