Nimegundua wanawake wengi wanaolewa na watu wasiokuwa wa ndoto zao!

Nasral

Member
Joined
Jul 23, 2026
Posts
6
Reaction score
13
Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa;

Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume anaingia kwenye ndoa na mwanamke anayempenda ila mwanawake anaingia kwenye ndoa kwa mambo mengi tu tofauti na upendo.

Mwanamke anaweza kuolewa kwasababu ya kumkomoa ex wake au anaweza kuolewa baada ya kuona hakuna njia tena ambayo inaweza kumsaidia kupata laazizi wa moyo wake.

Sababu ni nyingi kibao ambazo ziko tofauti na upendo kabisa na kibaya zaidi ni kipi mwanamke hawezi kamwe kusahau mwanaume ambaye anampenda
na ikija kutokea kuwa anayempenda naye anampenda kwisha Habari yako maskini wewe 😀😀😀

Ndo maana tunasumbuana usiku na mchana kuomba ushauri wa ndoa, tunaoa wanawake ambao sisi sio changuo lao, akikupenda kwa dhati atakutii mwenyewe tu!
 
Kiuhalisia mwanamke ndio anaye chagua aolewe na nani na wakati gani!. mwanaume huoa mwanamke anaeyeona anafaa kwa wakati huo, iko hivi.......

Mwanamke akihitaji ndoa atafanya chochote kile
Atajibadili tabia na kuwa mwanaume husika anavyotaka

mwanamke huyo atahamia kanisani au msikitini ili mradi akapate wanaume wanaosaka wachumba

atatimiza majukumu yote na kumtega mwanaume aone kwamba hii ndio full product ninayohitaji.

mwanaume ndio kiumbe pekee anayeweza kuoa kwa sababu tu umri umeenda, mama kasema.

Wewe kama kijana wa kiume jitahidi akili yako iwe mbele ya muda na uweze kumuelewa mwanamke aliye tayari kwa ndoa.
Na kutambua mwanamke anaye jibadili ili aolewe halafu mkiingia ndani hajali lolote ili mradi katoa mkosi mahari umetoa na kanisani au msikitini umempeleka na ukitoa talaka mgawane.

Na kumbuka takwimu zinadanganya wanawake ni wengi kweli....
ukihitaji wanawake wa kupigia picha na kulia bata ni wengi mnooo!. ila ikifika muda unahitaji mke ndio utagundua wanawake ni wachache mno na hìi iko vice-versa

Mi huwa naongea hali halisi iliyopo kwenye jamii yetu
 
Sasa mwanaume unahitaji upendo wa nini??
Kwan bila upendo wake maisha yako yatakwama?
Kabla ya ndoa uliishije?

Utaujuaje upendo wa mtu? , huwezi, maana moyo wa mtu ni kichaka.

Mwanaume nakushauri usililie upendo kwenye haya maisha maana utateseka na pia utakuwa insecure sana.

Usitafute upendo kwa mwanamke, utachelewa sana kwenye haya maisha mafupi.
 
Mbona kama umeongea kinyume,
 
Naunga mkono hoja
 
Mwanamke haamui anaolewa na nani bali mwanaume ndo anaamua anamuoa nani!! Hata ufanye nini kama mwanaume hayupo tayari kukuoa kwa wakati huo ni kazi bure!
 
Na kumbuka takwimu zinadanganya wanawake ni wengi kweli....
ukihitaji wanawake wa kupigia picha na kulia bata ni wengi mnooo!. ila ikifika muda unahitaji mke ndio utagundua wanawake ni wachache mno na hìi iko vice-versa
Umeongea maneno mazuri sana, yenye uhalisia na yanayogusa moyo. Si maneno ya kawaida yana ujumbe, hekima na ukweli wa maisha. Mungu akubariki sana.
 
Sasa mwanaume unahitaji upendo wa nini??
Kwan bila upendo wake maisha yako yatakwama?
Kabla ya ndoa uliishije?

Utaujuaje upendo wa mtu? , huwezi, maana moyo wa mtu ni kichaka.

Mwanaume nakushauri usililie upendo kwenye haya maisha maana utateseka na pia utakuwa insecure sana.

Usitafute upendo kwa mwanamke, utachelewa sana kwenye haya maisha mafupi.
Mke wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke wa kupewa na Mungu.
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Kiuhalisia mwanamke ndio anaye chagua aolewe na nani na wakati gani!. mwanaume huoa mwanamke anaeyeona anafaa kwa wakati huo, iko hivi.......

Mwanamke akihitaji ndoa atafanya chochote kile
Atajibadili tabia na kuwa mwanaume husika anavyotaka

mwanamke huyo atahamia kanisani au msikitini ili mradi akapate wanaume wanaosaka wachumba

atatimiza majukumu yote na kumtega mwanaume aone kwamba hii ndio full product ninayohitaji.

mwanaume ndio kiumbe pekee anayeweza kuoa kwa sababu tu umri umeenda, mama kasema.

Wewe kama kijana wa kiume jitahidi akili yako iwe mbele ya muda na uweze kumuelewa mwanamke aliye tayari kwa ndoa.
Na kutambua mwanamke anaye jibadili ili aolewe halafu mkiingia ndani hajali lolote ili mradi katoa mkosi mahari umetoa na kanisani au msikitini umempeleka na ukitoa talaka mgawane.

Na kumbuka takwimu zinadanganya wanawake ni wengi kweli....
ukihitaji wanawake wa kupigia picha na kulia bata ni wengi mnooo!. ila ikifika muda unahitaji mke ndio utagundua wanawake ni wachache mno na hìi iko vice-versa

Mi huwa naongea hali halisi iliyopo kwenye jamii yetu
Umemuelewa mtoa mada au ushalewa???
 
Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa;

Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume anaingia kwenye ndoa na mwanamke anayempenda ila mwanawake anaingia kwenye ndoa kwa mambo mengi tu tofauti na upendo.

Mwanamke anaweza kuolewa kwasababu ya kumkomoa ex wake au anaweza kuolewa baada ya kuona hakuna njia tena ambayo inaweza kumsaidia kupata laazizi wa moyo wake.

Sababu ni nyingi kibao ambazo ziko tofauti na upendo kabisa na kibaya zaidi ni kipi mwanamke hawezi kamwe kusahau mwanaume ambaye anampenda
na ikija kutokea kuwa anayempenda naye anampenda kwisha Habari yako maskini wewe 😀😀😀

Ndo maana tunasumbuana usiku na mchana kuomba ushauri wa ndoa, tunaoa wanawake ambao sisi sio changuo lao, akikupenda kwa dhati atakutii mwenyewe tu!
Hakuna mtu anaishi ndoto yake, ndoto ni ya kuota tu
 
Sasa mwanaume unahitaji upendo wa nini??
Kwan bila upendo wake maisha yako yatakwama?
Kabla ya ndoa uliishije?
Nafikiri wanaume wa zamani, wengi wao wakitongoza wao walichojua ni kuwa wamekubaliwa au wamekataliwa, hayo mengine hawakuyajua, ila wanaume wengi siku hizi wamejanjaruka kutokana na izi information kutoka kwenye mitandao, wanahitaji upendo ili kuepuka kero zisizo na ulazima kwenye mahusiano ambazo zingeweza epukika kama mdada angekua amekupenda kweli (wewe ni first choice wake)

Kero izo ni kama:
1) Mwanaume kunyimwa unyumba mara kwa mara na mwanamke bila sababu ya msingi
2) Mwanaume kunyanyapaliwa kwenye ndoa/mahusiano, kwa nje upo kwenye ndoa, ila moyoni bado unahisi upo single
3) Kuletewa mtoto ambae si wako
4) Kukimbiwa na mwanamke pale ambapo ushafulia kiuchumi, au pale ambapo mwanamke akishajipata kipesa anakuacha n.k

Nafikiri wanaume wa zamani walikua hata wakiombwa hela na mdada kwenye talking stage, wao ni wanatoa tu hela hadi wanakopa, ilhali wamezungushwa mwaka hawajapewa jibu lolote la uhakika, na ndo kimefanya wengi wetu humu tumezaliwa (including Natafuta Ajira) 😉 , ila siku hizi sababu ya hii knowledge inayopatikana kwenye mitandao mwanaume kwenye talking stage akiombwa sh elf 5 tu, anasitisha mahusiano, akizungushwa wiki 2 tu, haonekani tena Seran ShesRise_1 Amo1
leo dada win-one
 
Kaka siku izi hawa wanawake wanaigiza sana mapenzi, ni ngumu sana kujua anae kupenda kwa dhati.

Akitaka jambo lake ( mfano ndoa) utafanyiwa maigizo yote mpaka uone kuwa ni mtu sahihi.
 
Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa;

Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume anaingia kwenye ndoa na mwanamke anayempenda ila mwanawake anaingia kwenye ndoa kwa mambo mengi tu tofauti na upendo.

Mwanamke anaweza kuolewa kwasababu ya kumkomoa ex wake au anaweza kuolewa baada ya kuona hakuna njia tena ambayo inaweza kumsaidia kupata laazizi wa moyo wake.

Sababu ni nyingi kibao ambazo ziko tofauti na upendo kabisa na kibaya zaidi ni kipi mwanamke hawezi kamwe kusahau mwanaume ambaye anampenda
na ikija kutokea kuwa anayempenda naye anampenda kwisha Habari yako maskini wewe 😀😀😀

Ndo maana tunasumbuana usiku na mchana kuomba ushauri wa ndoa, tunaoa wanawake ambao sisi sio changuo lao, akikupenda kwa dhati atakutii mwenyewe tu!
Vice versa is true also
 
View: https://vt.tiktok.com/ZSq2V9nMq/
 
Imagine Mwanamke ni Kabwela lakini ana Ndoto za kuolewa na bilionea unadhani hii Ndogo itatimia?
 
Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa;

Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume anaingia kwenye ndoa na mwanamke anayempenda ila mwanawake anaingia kwenye ndoa kwa mambo mengi tu tofauti na upendo.

Mwanamke anaweza kuolewa kwasababu ya kumkomoa ex wake au anaweza kuolewa baada ya kuona hakuna njia tena ambayo inaweza kumsaidia kupata laazizi wa moyo wake.

Sababu ni nyingi kibao ambazo ziko tofauti na upendo kabisa na kibaya zaidi ni kipi mwanamke hawezi kamwe kusahau mwanaume ambaye anampenda
na ikija kutokea kuwa anayempenda naye anampenda kwisha Habari yako maskini wewe 😀😀😀

Ndo maana tunasumbuana usiku na mchana kuomba ushauri wa ndoa, tunaoa wanawake ambao sisi sio changuo lao, akikupenda kwa dhati atakutii mwenyewe tu!
Ni jambo la kawaida hilo
 
Back
Top Bottom