TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,869 Sep 25, 2026 #21 Mimi nadhani suala la mapenzi ni "illusion" tuu hakuna mtu anaempenda mwenzake. Sio mwanaume wala mwanamke. Wote tuko ki maslahi na mara nyingi siku hayo maslahi yakikoma na shughuli nzima inaishia hapo.
Mimi nadhani suala la mapenzi ni "illusion" tuu hakuna mtu anaempenda mwenzake. Sio mwanaume wala mwanamke. Wote tuko ki maslahi na mara nyingi siku hayo maslahi yakikoma na shughuli nzima inaishia hapo.
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,724 Reaction score 24,474 Sep 25, 2026 #22 Kiranga said: Hakuna mtu anaishi ndoto yake, ndoto ni ya kuota tu Click to expand... Tabasmu la kwanza siku ya Leo nimelipata hapa kwenye haya maoni Yako π
Kiranga said: Hakuna mtu anaishi ndoto yake, ndoto ni ya kuota tu Click to expand... Tabasmu la kwanza siku ya Leo nimelipata hapa kwenye haya maoni Yako π
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,724 Reaction score 24,474 Sep 25, 2026 #23 Bush Dokta said: Imagine Mwanamke ni Kabwela lakini ana Ndoto za kuolewa na bilionea unadhani hii Ndogo itatimia? Click to expand... Kiranga amesema juu hapo ndoto ni kwaaajili ya kuota tu π
Bush Dokta said: Imagine Mwanamke ni Kabwela lakini ana Ndoto za kuolewa na bilionea unadhani hii Ndogo itatimia? Click to expand... Kiranga amesema juu hapo ndoto ni kwaaajili ya kuota tu π
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,929 Reaction score 7,927 Sep 25, 2026 #24 hip hop uchwara said: Ingependeza wangeolewa na wanao wabikiri Click to expand... Hii ndio injili nahubiri kila siku. Mwanamke aolewe na aliyemtoa bikra. Full stop
hip hop uchwara said: Ingependeza wangeolewa na wanao wabikiri Click to expand... Hii ndio injili nahubiri kila siku. Mwanamke aolewe na aliyemtoa bikra. Full stop
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Sep 25, 2026 #25 aise said: Kiranga amesema juu hapo ndoto ni kwaaajili ya kuota tu π Click to expand... Naona watu wanahoji huyu kuota hiki. Ndoto ni haki ya kibinadamu, kwa hiyo ukihoji kwa nini huyu anaota hiki kitu kikubwa sana ni kama unakuwa mkatili kumnyima mtu haki yake ya kuota. Yani kitu mtu hawezi kabisa kukipata maishani, halafu unatakaje kumnyima hata nafasi ya kujifariji kwa kukipata ndotoni? Mwanetu alikuwa na ndoto ya kumuoa mtoto wa Obama hapa, wakati hata kukutana naye tu mzozo. Wengine hatukutaka kumnyanyapaa tulimuangalia tu anafaidi haki yake ya kuota. Baadaye kakua kaiacha ile ndoto mwenyewe πππ
aise said: Kiranga amesema juu hapo ndoto ni kwaaajili ya kuota tu π Click to expand... Naona watu wanahoji huyu kuota hiki. Ndoto ni haki ya kibinadamu, kwa hiyo ukihoji kwa nini huyu anaota hiki kitu kikubwa sana ni kama unakuwa mkatili kumnyima mtu haki yake ya kuota. Yani kitu mtu hawezi kabisa kukipata maishani, halafu unatakaje kumnyima hata nafasi ya kujifariji kwa kukipata ndotoni? Mwanetu alikuwa na ndoto ya kumuoa mtoto wa Obama hapa, wakati hata kukutana naye tu mzozo. Wengine hatukutaka kumnyanyapaa tulimuangalia tu anafaidi haki yake ya kuota. Baadaye kakua kaiacha ile ndoto mwenyewe πππ