Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi.
kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani wananchi MNIPOKEE Simba sio mama yangu kwamba nisihame nimehama Simba sababu timu ni bovu na halitokuja kukaa sawa Leo nimetoka kununua jezi zangu mbili za wananchi njano na nyeusi lazima nitambe sitaki ushauri YANGA BINGWA.