Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

Kiuchambuzi bila upendeleo wowote Technically yanga haiwezi kubeba ubingwa wa NBC wala kimataifa hawawezi kufika quarter final
 
Duh.. Wewe ni zaidi ya mwanamke malaya akiwa anadanga bar.

Haya kila la kheri huko uendako, hivyo yanga wakitetereka nako utataka kuhama, sasa una tofauti gani na mwanamke malaya. 🤣😂

Wenzako tunakubali tu kuwa yanga bora tunaimani simba nayo itafika kipindi itarudia ubora, hilo ndio football, hakuna yimu ikawa bora daima.. Iwe brazil, france, real madrid, barcelona, arsenal, Manchester, hata hzi simba na yanga.
Mimi ni Yanga kindakindaki ila umeongea point kubwa sana. Big up mkuu.
 
Wanawake wengi ndio walivyo kuna mdada hapa nina fanya nae kazi toka nimjue mwaka 2017 alikuwa Simba na kipindi hiko anafuria sana hadi niliwahi kumnunulia jezi ya Simba yaan alikuwa Simba Kweli ajabu mwaka jana anasema yeye amehama yupo Yanga hapa nipo nae ofisini sasa hivi anavaa jezi za Yanga
Huwa najiuliza kwanini wanawake wengi mnakuwa hamna msimamo katika mpira
 
Back
Top Bottom