Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

Kolo kwa mujibu wa kiswahili sanifu, kolo ni ndugu wa kiume wa mama yako, unaweza kuita mjomba.

Huko uendako wenye akili ni wawili tu Sunday manara "computer" na mzee kikwete.. Wengine woote kina ephen_ Atoto ni ma mbumbumbu mzungu wa reli. 🤣😂
Una roho mbaya sana! Nilidhani wenye akili ni mimi na Atoto🥹
 
Sawa mbumbumbu a.k.a kolo Baki hapo hapo ngungu fc naona kama unaumia kidume kuama ukoloni
Mwanamke ana roho ngumu, anaweza kuwa mkristo shabiki wa batiki we mpe muda apate mwanaume muislamu shabiki wa Simba uone.
 
Mwanamke ana roho ngumu, anaweza kuwa mkristo shabiki wa batiki we mpe muda apate mwanaume muislamu shabiki wa Simba uone.
Tusilazimishane aisee mbona kama unaumia nimeshahama makolo fc Baki mwenyewe
 
Haya kila la kheri huko uendako, hivyo yanga wakitetereka nako utataka kuhama, sasa una tofauti gani na mwanamke malaya...
Huyu alikuja na uzi kuwa hafatili mpira wa bongo na akaita ni takataka.leo anakuja na uzi wa kuonesha kuwa ni muhumini mzuri wa mpira wa bongo. Kuna watu wana matatizo dunianiani sio mchezo na wala hujamkosea kwa kumpa sifa zake.
 
NIMEHAMA makolo fc Baki mwenyewe mbona unaumia sana
 
Back
Top Bottom