Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Hujajibu swali nyie wanawake mnapenda mchezo gani πππSawa mke wa mo dewij
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali nyie wanawake mnapenda mchezo gani πππSawa mke wa mo dewij
πππ ss watu Wa mpra tunaamn kwa iyo simba nguvu mojaHamna simba itayokuja kuwa nzuri sahau
π€£ππKwsnini mfano usiwe, kama mwanaume malaya?
Anyway mleta mada karibu sana Yanga, zile sanda kazichome. Huku ni raha, furaha kunyanyua makwapa kwa kila kombe....
#yangabingwa
#yangadaimambelenyumamwiko
ππππππππππππππππ