makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Huko nako ipo siku itashuka tu, yani football ndivyo lilivyo, mie toka nimeanza kutizama soka mpaka leo ni miaka 30 net, hakuna timu iliyodumu na ubora bila kutetereka. Itaenda miaka 10 hivi itatetereka.Atahamia Azam fc
Una roho mbaya sana! Nilidhani wenye akili ni mimi na Atotoπ₯Ή
Mwanaume asiye na Msimamo hana tofauti na HamisaMbumbumbu wanajulikana ni mashabiki wa timu Gani tanzania
Mbumbumbu Baki na timu hiyo Mimi nimehama usinilazimisheMwanaume asiye na Msimamo hana tofauti na Hamisa
Tulia we mbumbumbu mzungu wa reli.. Huko wenye akili ni wawili tu π€£πMbumbumbu wanajulikana ni mashabiki wa timu Gani tanzania
Mbumbumbu Baki na timu Yako Mimi nimehama usinilazimisheTulia we mbumbumbu mzungu wa reli.. Huko wenye akili ni wawili tu π€£π
Nyie ndio viazi kweli kweli.. Yaani akili zenu hazina akili ππ€£Una roho mbaya sana! Nilidhani wenye akili ni mimi na Atotoπ₯Ή
Mwanamke ana roho ngumu, anaweza kuwa mkristo shabiki wa batiki we mpe muda apate mwanaume muislamu shabiki wa Simba uone.Sawa mbumbumbu a.k.a kolo Baki hapo hapo ngungu fc naona kama unaumia kidume kuama ukoloni
Dawa yako inachemka subiriπ£Nyie ndio viazi kweli kweli.. Yaani akili zenu hazina akili ππ€£
Tusilazimishane aisee mbona kama unaumia nimeshahama makolo fc Baki mwenyeweMwanamke ana roho ngumu, anaweza kuwa mkristo shabiki wa batiki we mpe muda apate mwanaume muislamu shabiki wa Simba uone.
Kama moto hautoshi, niwaongezee jiko la gesi, ichemke haraka. πDawa yako inachemka subiriπ£
Huyu alikuja na uzi kuwa hafatili mpira wa bongo na akaita ni takataka.leo anakuja na uzi wa kuonesha kuwa ni muhumini mzuri wa mpira wa bongo. Kuna watu wana matatizo dunianiani sio mchezo na wala hujamkosea kwa kumpa sifa zake.Haya kila la kheri huko uendako, hivyo yanga wakitetereka nako utataka kuhama, sasa una tofauti gani na mwanamke malaya...
Una maneno kama mzaramo! Kina Chacha hatupo hivyoKama moto hautoshi, niwaongezee jiko la gesi, ichemke haraka. π
NIMEHAMA makolo fc Baki mwenyewe mbona unaumia sanaHuyu alikuja na uzi kuwa hafatili mpira wa bongo na akaita ni takataka.leo anakuja na uzi wa kuonesha kuwa ni muhumini mzuri wa mpira wa bongo. Kuna watu wana matatizo dunianiani sio mchezo na wala hujamkosea kwa kumpa sifa zake.
π€π€π€Una maneno kama mzaramo! Kina Chacha hatupo hivyo
Huwezi wewe! Baada ya nusu saa nitasikia kelele zako tenaπ€π€π€
π€π€π€Huwezi wewe! Baada ya nusu saa nitasikia kelele zako tena
Dada Mimi nimehama Baki mwenyewe huko mbumbumbu fcMwanamke akibadili uume unaomuhudumia anabadili na timu. Hawazi.