Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

Chama cha siasi unaweza shawishiwa kwa itikadi na sera zake ukahama.

Dini nayo vile vile ukaamini kuwa huku ndipo sehem sahihi kule ulikuwa cha kike.

Ila inapofika kwenye mpira hapana yale ni mapenzi ya kweli hayana expire date.

Mf: mashabiki wa Arsenal huwa nawalubali.
 
Impurities zote zikiisha, Simba Sports Club itafanya vizuri sana.
 
Kwangu mimi Simba ni sawa na Kabila langu..haitatokea kuihama hata ishuke daraja.
 
Sawasawa.Umefuata supu tu.Huna lolote.Simba baba lao!
 
Kwsnini mfano usiwe, kama mwanaume malaya?

Anyway mleta mada karibu sana Yanga, zile sanda kazichome. Huku ni raha, furaha kunyanyua makwapa kwa kila kombe....

#yangabingwa
#yangadaimambelenyumamwiko
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Una akili kubwa, maisha yatupe stress na Simba ambayo haitulishi nayo pia, why?

Hongera sana kwa kuchagua kilicho bora, hongera kwa kuchagua furaha, sasa rasmi we ni utopolo na hutopata tena maumivu na hasira kwako itakuwa full shangwe!!

Mi niliwahi kuhama ushabiki kutoka Liverpool kwenda ManU baada ya kichapo kila siku, baadae ManU ikawa mdebwedo Ferguson alipostaafu sasa nimehamia rasmi Real Madrid Mbappe anakiwasha huko, huwa sipendi kushabikia ujinga!!
 
Baki mwenyewe Mimi simba hainilishi mzee Mimi sio mjinga kushabikia timu bovu
 
Sawa Mama
 
Sawa Mama
Fanya utafiti utagundua wanawake wengi ndio mlivyo yaan hamna msimamo katika mpira yaan Leo mpo Simba kesho mpo Yanga yaan mnaangalia na upepo wa timu kwa mwaka wanawake wengi waliokuwa Simba mtahama sana vima nyie mna macho lakini hamuoni mnafata mkumbo wa waume zenu
 
Sawa mama
 
Sawa mama
lakini sie wanaume hatushangai maana wanawake na mpira wapi na wapi hivyo ukiacha wewe uliyehama hapa jirani yangu nyumbani kuna kadada nako nasikiaa amehama Simba na sasa yupo Yanga unaweza kuona ni jinsi gani wanawake mnakosa msimamo katika mipira
 
lakini sie wanaume hatushangai maana wanawake na mpira wapi na wapi hivyo ukiacha wewe uliyehama hapa jirani yangu nyumbani kuna kadada nako nasikiaa amehama Simba na sasa yupo Yanga unaweza kuona ni jinsi gani wanawake mnakosa msimamo katika mipira
Sawa mama
 
Sawa mama wa simba
Wanaume wengi asilimia kubwa mchezo wetu pendwa soka kwa hali na mali tutafatilia soka kushinda chochote mtu yupo tayari asile ili angalie mpira
Tukitoa rede milivyokuwa wadogo mnacheza
Hivi labda nikuulize swali nyie wanawake mchezo wenu gani mnaopenda kwa uzoefu wako tupe ushuhuda maana mm wife mpira hapendi
 
Sawa mke wa mo dewij
 
Ongera sana kwa kumpa elimu uyo mnaaa wa mpra football ina badlika sana leo smba mbovu kesho nzr ndy mpra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…