Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mneli ndiyo nini?kila saa sita usiku ikifika toka hapo uwani washa mneli, ukimaliza kalale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mneli ndiyo nini?kila saa sita usiku ikifika toka hapo uwani washa mneli, ukimaliza kalale.
Akikuzidi mashine haiingii auAnanizidi kama 10 years wakuu
Amina[emoji120][emoji120][emoji120]Zaburi 27
1 Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu, ni nani nitakayemwogopa? Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu, sitamwogopa mtu yeyote.
2 Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.
3 Hata jeshi likinizunguka, moyo wangu hautaogopa kitu; hata nikikabiliwa na vita, bado nitakuwa na tumaini.
Mtoto wa Mungu mwenye imani ndogo tu kama punje ya haradali hawezi kusumbuliwa na nguvu za giza au mchawi yeyote.
Naam, watakujaribu watest kina cha imani yako lakini ukimtumainia Mungu huyo mtoto wa mwenye nyumba aliyeachiwa mikoba ndiye ata surrender. Maana yeye anatumiwa na shetani whereas wewe unatumiwa na Mungu mwenyezi.
Unaweza shangaa anakurudishia kodi yako na kukutaka uhame au wewe ukatumiwa na Mungu umuongoe. Haukwenda kupanga hapo kwa bahati mbaya. Mungu alijua hilo kabla haujahama ulipokuwa unaishi.
Fear not, for who is for us is stronger than who is for them.
Yoshua 1:9
Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari. Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.”
Sigara kubwa,ganja,msuba!!!!!mneli ndo nn mkuu
Mpeleke hivyo hivyo AKAUNGUE MWENYEWE!!!Ananizidi kama 10 years wakuu
Unapatikana mkoa gani kwanza? nichekiasante kwa kunitia moyo[emoji120]
Hama haraka acha ungese, nimewahi kuishi nyumba ya namna hiyo yaani nilifilisika na pia mikosi ilikuwa mingiHabarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia.
Ushauri wenu ni muhima sana.
Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Habarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia.
Ushauri wenu ni muhima sana.
Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Ananizidi kama 10 years wakuu
AsanteUsifanye chochote mpaka utakapoona vitimbi nimeanza,vitimbi namaanisha kama kuhisi kuna mtu anapumua kisogoni kwako unapokuwa umelala hasa kulalia tumbo,basi utakapoyaona hayo jua uko majaribuni na chukua hatua kadri utakavyoona inafaa
[emoji23]enzi naanza Maisha
kikazi nilikua kigoma hukoo nikapata chumba kitongoji kinaitwa Meti
nyumba ilikua Jirani na sokoni hapo Meti kama unatokea polisii
nililipa miezi mitatuu matokeo yake nlikaa Mwezi hujaisha naikaondoka
siku ya kwanza nliota ndoto za ajabu mara nimefungwa kamba
mara navuburuzwa nyumba nzimaa
paka wanaolia njee hatariii
ilifikia hatua kurudi nyumbani nikawa nawaza
nafsi haitaki kabisaaa
nami nikaanza kufanya research kuhusu ile nyumba
majibu nikaambiwa mwenye nyumba alikua anasifika kwa ulozii ila ameshafariki nyumba kawaachia wanaee
kwa viroja vileee ikabidi ninyooshe mikono juu nikahama kimya kimyaaa