Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

Nyumba za kupanga noma Sana
Niliteswa sana na wachawi ktk nyumba hizo ingawa kwasasa nipo home bado naandamwa ingawa namimi nawapa adabu, Kuna nyumba moja niliwahi kupanga jamaa ambae alikuwa msimamizi wa Yale mabanda alikuwa mchawi balaa,

Yaani ukiamka asubuhi mabega yote yanauma haitosh alikua bingwa wa kufarkanisha yaani mnajikuta kosa dogo tuu hamuelewani ndani

Ikafika kipindi ukilala usiku unasikia mchanga unamwagwa juuu ya bati mala unasikia paka anafagia, aisee yule ustaz alinifanyia vitimbi Sana manusula aniuwe sijui alikua hataki nikae pale, pia alikua nawivu Sana ukinunua radio tuu anakasilika Sana kimbembe usiku utakiona Cha mtema kuni

Ila nakumbuka nammi niliwahi kumkomesha kisawa sawa hali iliyopekea uchawi wake kupowa

Nakumbuka nilienda kwa mtalaam akanipa dawa yakumwaga kwenye Kona ya chumba basi nilifanya vile
Nakumbuka usiku wake ostaz kajichanganya kanasa, nikiwa kitandani nimelala nikaona mwanga mkali Sana mlangoni kwangu ulioambatana na kishindo ile nataka nisogee akawa anakimbia huku kashikilia kile kitu kilichokua kinatoa mwanga mkali ikabidi nitulie

Baada ya dk3 nikamsikia anarudi akiwa kawaida akafika dirishani kwangu akasimama nikasonya alikimbia Kama kashikwa ugoni

Nilitoka nikaenda kumuamsha ndugu yake naye Kumbe alikua anazijua tabia zake akanza kunipa michapo
Jamaa alinambia yeye mwenyewe ilifika kipindi kila ikifia jioni alikua anakuja paka kwenya paa lake nakuanza kumwaga mchanga huku akifagia anasema siku moja nilikaa mlangoni nilitukana kuanzia hapo hajawahi kumuona Tena yula paka

Jamaa alinishauri niende kwa mama yao nikamsemee kwa tabia chafu na zakikatili alizokua anafanya, Kumbe wakati nipo najamaa pale nje tunaongea alikua anatusikia hali iliyopelekea Mimi na jamaa tukafarakana kwa kosa dogo tuu ila ile michezo yote aliifanya yeye baada yakuona Mimi na ndg yake tunapatana Sana ndiyo akaamua kutufarakanisha, aisee wachawi wanaroho mbaya Sana,usione mtu kafarakana na mkewe kwenye nyumba za kupanga ukadhani ni akili za kawaida hapana niwachawi wamefanya yao, nimejifunza mengi Sana kwenye nyumba za kupanga, ingawa nilikuja kuhama pale kwa zengwe kubwa Sana na hakuacha kunifutilia hata huko niliko amia kwani hapakua mbali na pale kwao

Hata hivyo hapo nilipohamia nilikutana na mama kutoka kigoma nayeye alinifanyia maseke makubwa Sana nashindwa hata niandikaje.

Nyumba za kupanga zimejaa ushirikina nichache Sana zilizo na watu civilized
 
Dah pole sana mkuu.
 
Habarini wakuu,

Mada tajwa hapo juu inajieleza.

Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa.

Pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu, vipi nifanye njia gani ili nijiepushe katika hii kadhia.

Ushauri wenu ni muhima sana.

Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
mwamini Yesu
 
Back
Top Bottom