Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

Unapatikana mkoa gani kwanza? nicheki

watsap +255625750755

nikuunganishe na mtaalam wa hayo mambo akufungue macho ๐ค๐š๐›๐ฅ๐š ๐ก๐š๐ฒ๐š๐ฃ๐š๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š

๐ค๐ข๐ง๐ ๐š ๐ง๐ข ๐›๐จ๐ซ๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ญ๐ข๐›๐š
Nipo Dar Es Salaam mkuu.
 
Mkuu upo mkoa gani? Kama vile tunaweza tukawa ni majirani, maana hii nyumba niliohamia pia nimesikia skendo mtaani kuwa ina vibwanga ila sijawahi kuona tangu nimehamia, pia kodi yangu alichukua mdada wa makamo, mwenye nyumba alishafariki.
Isije kuwa ndo ww jirani yangu hapa pembeni visa kama vinafanana japokua sjaona vimbwanga tangu nihamie
 
Habarini wakuu,

Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia.

Ushauri wenu ni muhima sana.

Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Picha chumvi daily siku 7 mfululizo na siku ya 8 ichome huku ukinuia utakayo na usiku hingiapo choma nyudi nne moja kila pembe ya chumba..
 
Achana na nyumba Za kupanga maana karibu zote zinafanana kwa matukio Kama hayo. Jenga uhamie kwako na familia yako
 
Picha chumvi daily siku 7 mfululizo na siku ya 8 ichome huku ukinuia utakayo na usiku hingiapo choma nyudi nne moja kila pembe ya chumba..
Matokeo yake ni yapi pia nianze lini ndo itakua vizuri zaidi..
 
Tembea na huyo binti Tena ikiwezekana tangaza ndoa ili uujue uchawi live
 
Habarini wakuu,

Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia.

Ushauri wenu ni muhima sana.

Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Nipe namba za huyo binti
 
Kwani tangu umefika hapo umekutana na nini hasa kinachosadiki maneno ya walimwengu hao?. Kama hujaona chochote tulia endelea kuishi raha mustarehe mpk hapo utakapoamua vinginevyo.
 
Kwani tangu umefika hapo umekutana na nini hasa kinachosadiki maneno ya walimwengu hao?. Kama hujaona chochote tulia endelea kuishi raha mustarehe mpk hapo utakapoamua vinginevyo.
Sijaona vimbwanga vyovyote japokua kila ninaemuelezea hapa nilipohamia majibu yake ni hayooo 'Mwenye nyumba alikua mchawi balaaaa na huyu mwanae anaeishi hapa wa kike ndio mrithi wake'
 
Back
Top Bottom