Nipo Dar Es Salaam mkuu.Unapatikana mkoa gani kwanza? nicheki
watsap +255625750755
nikuunganishe na mtaalam wa hayo mambo akufungue macho ๐ค๐๐๐ฅ๐ ๐ก๐๐ฒ๐๐ฃ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐๐ฐ๐
๐ค๐ข๐ง๐ ๐ ๐ง๐ข ๐๐จ๐ซ๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ญ๐ข๐๐
Isije kuwa ndo ww jirani yangu hapa pembeni visa kama vinafanana japokua sjaona vimbwanga tangu nihamieMkuu upo mkoa gani? Kama vile tunaweza tukawa ni majirani, maana hii nyumba niliohamia pia nimesikia skendo mtaani kuwa ina vibwanga ila sijawahi kuona tangu nimehamia, pia kodi yangu alichukua mdada wa makamo, mwenye nyumba alishafariki.
Haina shidaNipo Dar Es Salaam mkuu.
Picha chumvi daily siku 7 mfululizo na siku ya 8 ichome huku ukinuia utakayo na usiku hingiapo choma nyudi nne moja kila pembe ya chumba..Habarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia.
Ushauri wenu ni muhima sana.
Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Anaweza kutegewa wuchi wa fisiMpelekee moto hyo binti!
Maana uchawi hauendi kwa mentali
Atapewa ya fisi SISHAURI KABISAPeleka moto mpelekee moto.
Mpk cheche zitokee๐Mpelekee moto hyo binti!
Maana uchawi hauendi kwa mentali
He must be GOD fearing child ndio maana. Kuna mmoja alinipita ten years nkampa haki yake, mtamu sana.๐So haipiti?
mhhhhhhhHe must be GOD fearing child ndio maana. Kuna mmoja alinipita ten years nkampa haki yake, mtamu sana.[emoji28]
Nipe namba za huyo bintiHabarini wakuu,
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Nimehamia nyumba moja hapa mtaani kila mtu unaekutana nae anasema aliyekuwa mwenye nyumba (marehemu) alikuwa ni mchawi na mtaa mzima ulikuwa unamuogopa pia kuna binti yake makamo ya kati ndo kama karithishwa huo uchawi na ndie aliepokea kodi yangu vipi nifanye njia gani ili nijiepusha katika hii kadhia.
Ushauri wenu ni muhima sana.
Shukrani. Mshana Jr msaada wako hapa
Sijaona vimbwanga vyovyote japokua kila ninaemuelezea hapa nilipohamia majibu yake ni hayooo 'Mwenye nyumba alikua mchawi balaaaa na huyu mwanae anaeishi hapa wa kike ndio mrithi wake'Kwani tangu umefika hapo umekutana na nini hasa kinachosadiki maneno ya walimwengu hao?. Kama hujaona chochote tulia endelea kuishi raha mustarehe mpk hapo utakapoamua vinginevyo.