Nimehamia Tabata, kila mtoto ninaekutana nae ni kisu balaa, sijui kama nitapona mie

Nimehamia Tabata, kila mtoto ninaekutana nae ni kisu balaa, sijui kama nitapona mie

Weka picha

beyonce-jpg.330232

una ugumu tu unakusumbua, fanya juhudi utafute demu mana hata huyo utamuona beyonce.
 
Subutu kupiga chiki ata mojaa
Usijaribuu kabisaaaa maana me niliponea chupuchupuu
 
Kwani hao wazuri wana sifa gani? Wapo tofauti na hawa huku kwetu mchambawima? Kijijini samvulachole? Au kila tui unadhani maziwa?
 
karibu huku tandale mkuu, uone dira linavyochomekwa kwenye chupi
kama huko wanavaa dira na chupi hakufai, mimi huku nilipo mademu wengi bei ya chupi washasahau, dira halivaliwi na chupi weye, wakuta mtu ana neema za alah alafu katupiamo dira bilabila. (usiulize niliko maana sitakwambie usije tuletea inzi bure)
 
wengine mashetani ohoooooooooooooooooooooooooooooo
 
kama huko wanavaa dira na chupi hakufai, mimi huku nilipo mademu wengi bei ya chupi washasahau, dira halivaliwi na chupi weye, wakuta mtu ana neema za alah alafu katupiamo dira bilabila. (usiulize niliko maana sitakwambie usije tuletea inzi bure)
nishalijibu hilo, ongea lingine
 
Ukihamia mitaa ya kwetu hapa kiwalani utasemaje!?
 
ndugu na umehamia tabata ipi na mtoto mkali kwako yukoje nimekaa tbt miaka 9 sijaona mtoto mkali wala nn... wewe utakuwa umetoka dar vijijini

upo tbt ipi
 
Laribu mkuu,pita kinyerezi mwisho nipo hapa bablon upate supu ya kongoro na ndizi ya kuchemsha,gharama zote juu yangu mkuu
 
Wakuu,

Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.

Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
karibu mkuu,pita kinyerezi mwisho nipo hapa bablon upate supu ya kongoro na ndizi ya kuchemsha,gharama zote juu yangu mkuu
 
Tabata kuna sehemu inaitwa "Ubaya Ubaya" karibu na Bima. Huko ilikuwa ukipeleka gari lako lazima uwe na roho ngumu.

Umenikumbusha mbali sana.
 
beyonce-jpg.330232

una ugumu tu unakusumbua, fanya juhudi utafute demu mana hata huyo utamuona beyonce.
nipo kaunta ya bar hapa bondeni ya mbez beach nimecheka kwanguvu walev wanashangaa nachekea cm khaaaaaaa
 
Back
Top Bottom