ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
Weka picha
una ugumu tu unakusumbua, fanya juhudi utafute demu mana hata huyo utamuona beyonce.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha
Hahahaha ngoja mrejesho tuVipi bado hujajiua mkuu?
...mademu wa Kitunda kwa wakurya wauza mayai utawajua tu!Eti ni kisu balaa, vitakukata hivyo visu endelea kujishebedua
kama huko wanavaa dira na chupi hakufai, mimi huku nilipo mademu wengi bei ya chupi washasahau, dira halivaliwi na chupi weye, wakuta mtu ana neema za alah alafu katupiamo dira bilabila. (usiulize niliko maana sitakwambie usije tuletea inzi bure)karibu huku tandale mkuu, uone dira linavyochomekwa kwenye chupi
nishalijibu hilo, ongea linginekama huko wanavaa dira na chupi hakufai, mimi huku nilipo mademu wengi bei ya chupi washasahau, dira halivaliwi na chupi weye, wakuta mtu ana neema za alah alafu katupiamo dira bilabila. (usiulize niliko maana sitakwambie usije tuletea inzi bure)
Powa, nilikuwa sijaona hilo jibu kuwa nyie wa huko mwaona raha kuvua chupi za wadada, sie huku wavuvi wa changu, twaona ujinga kuvua chupi za wadada.nishalijibu hilo, ongea lingine
sio mbayaPowa, nilikuwa sijaona hilo jibu kuwa nyie wa huko mwaona raha kuvua chupi za wadada, sie huku wavuvi wa changu, twaona ujinga kuvua chupi za wadada.
Muache kijana, ashangae Tabata kwa mabata....!Tamaa itakuponza
Kiwalani, full uswazi mkuu! Halafu kuna vibaka sanaUkihamia mitaa ya kwetu hapa kiwalani utasemaje!?
Ashangae kwa step tuMuache kijana, ashangae Tabata kwa mabata....!
Wakuu,
Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya wizi wa madirishani au namna gani, unaweza kulala hata mlango wazi kabisa. Pia watu hawana time na mtu, kila mtu yuko na hamsini zake.
Jamani badilisheni maeneo muone mapya.
karibu mkuu,pita kinyerezi mwisho nipo hapa bablon upate supu ya kongoro na ndizi ya kuchemsha,gharama zote juu yangu mkuu
nipo kaunta ya bar hapa bondeni ya mbez beach nimecheka kwanguvu walev wanashangaa nachekea cm khaaaaaaa![]()
una ugumu tu unakusumbua, fanya juhudi utafute demu mana hata huyo utamuona beyonce.
kuna vibaka unaibiwA MCHANA KWEUPEEETabata kuna sehemu inaitwa "Ubaya Ubaya" karibu na Bima. Huko ilikuwa ukipeleka gari lako lazima uwe na roho ngumu.
Umenikumbusha mbali sana.