Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
- Thread starter
-
- #41
Unaanipangia timu yakushabikia? Ilo la mpila ni makosa ya kiuandishiMaamuzi ya kitoko, alafu badala ya kuandika mpira, unaandika mpila
Aje kwenye raha..!! Mambo ya huzuni kila kukicha pressure yamemshinda..!! Leo hii saa 10 pressure zitawapanda tena..!! huyu Simba lunyasi hataki umbumbumbu huo..!!Karibu dunduka, Yanga raha, tutakufundisha kusoma na kuandika pia. Maana ulikotoka ni mbumbumbu FC 😅😅😅😅😅
Mpira siyo Mpila.
Anohama team kwa maslahi sio sawa na kuhama team kama shabiki. Upenzi kitu chengine wee. Mie simba hata ifungwe magoli 100 siwezi kwenda Yanga hata kwa bahati mbayaKuwe na cha kumrudisha..!!! Amehama Chama atakuwa yeye?
Njooni Yanga, Supu mutakunywa na na siku za kuishi zitaongezeka kwa raha na furaha mutakazopata.Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Baki na mipresha yako..!! Na leo hii mkitolewa tafuteni kwa kuishi..!!Anohama team kwa maslahi sio sawa na kuhama team kama shabiki. Upenzi kitu chengine wee. Mie simba hata ifungwe magoli 100 siwezi kwenda Yanga hata kwa bahati mbaya
Sawa mkuu, mimi ndio nimeshamove on ivoo. Na nimefollow page yao Instagram. Natarajia mambo makubwa kwa hii timu ambayo hayakuweza kufikiwa huko nilipokuwa, nawaona wanaenda kuteka soka la vilabu barani Afrika, labda itokee ajali za kimpira maana mpira unakuwaga na suprize zakeBinafsi sijaweza, nitakufa nikiwa shabiki wa Simba SC haijalishi tutakuwa nafasi ya ngapi
Kila mtu ID anajiamulia..!!Hongera mkuu, ila umesahau jambo muhimu sana, hapo kwenye "simba lunyasi" pasomeke Utopolo nyuma mwiko au Depotivo de utopolo, ni ilo tu mkuu mpe hi mkude.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aje kwenye raha..!! Mambo ya huzuni kila kukicha pressure yamemshinda..!! Leo hii saa 10 pressure zitawapanda tena..!! huyu Simba lunyasi hataki umbumbumbu huo..!!
Ni uamuzi binafsi mkuu, kuwa na amani hapo ulipoAnohama team kwa maslahi sio sawa na kuhama team kama shabiki. Upenzi kitu chengine wee. Mie simba hata ifungwe magoli 100 siwezi kwenda Yanga hata kwa bahati mbaya
Siku hizi wameacha kuvaa jezi zao nyekundu. Ukiona UBUNTU BOTHO ujuwe ni wale wale..!!!Watu wanavua gamba tuuuu
Hakuwahi kuwa msimbazi huyu mamlukiUtarudi tu, msaliti wewe!
Azam uongo ni nyota nyekundu.Huwa hakuna shabiki wa aina hiyo. Mashabiki wanaweza wakaiacha timu yao na kwenda kuanzisha timu zao au huenda kuchukua timu iliyo dhaifu na kwenda kuiongezea nguvu, lakini huo ushabiki wa kuhama timu kisa inafanya vibaya haupo.
Timu inapofanya vibaya maana yake ni wakati wenu wa ku feel challenged kuingia kuongeza support, siyo kukimbia.
Mfano mzuri ni wale walioiacja Yanga mwaka 1936!wakaenda kuanzisha timu yao ikaitwa Queens, baadaye Sunderland na baadaye tena Simba, wengine tena wakaiacha Yanga na kwenda kuanzisha timu yao wakaiita Pan African.
Mwingine akaiacha Simba na kwenda kuanzisha Azam
Upo sahihi, Nyota Nyekundu ilijimega kutoka Simba ila Azam pia ilianzishwa na aliyetoka Simba baada ya kutoridhishwa na mwenendo ndani ya Simba.Azam uongo ni nyota nyekundu.