Kila la heri MkuuSawa mkuu, mimi ndio nimeshamove on ivoo. Na nimefollow page yao Instagram. Natarajia mambo makubwa kwa hii timu ambayo hayakuweza kufikiwa huko nilipokuwa, nawaona wanaenda kuteka soka la vilabu barani Afrika, labda itokee ajali za kimpira maana mpira unakuwaga na suprize zake
Naona umeniamulia Mkuu wangu, ila haya maisha tuUmeelewa swali? Au maumivu yamechanganya?
Bora uende Yanga. Huwezi andika mpila badala ya mpira ukabaki SIMBASitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Wewe ni utopolo damu damu tokea zamani!! Kwenye mpira huwa wanahama wachezaji lakini siyo mashabiki!! Hata mwandiko wako unanukia utopolo!!Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Sio utopolo sema utopwinyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hasante mtopolo, ila hapo kweny kuitwa utopolo ndo inabidi nipavumilie
Na haibadiliki, propaganda nyingi sana ila uwanjani vululuvululuSimba imekua timu mbovu sana kuna hatari kubwa za mashabiki zake kutumia gharama kubwa kwenye matibabu binafsi.
Kwa sasa nimehamia Yanga, ya huko mbeleni anayejua ni MunguMpira wa simba na yanga ni kama homa.
Mara inapanda mara imeshuka. Hakuna consistency.
Utahama mara kwa mara.
Awamu hii ikiisha believe me, Yanga itadorora mno.
KWa hiyo kuanzia leo wewe UTOPOLOSitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
Mkuu nimeshtoka huko, na hii week inayoqnza kesho nanunua jezi kabisa, Simba uwongo uwongo ndio mwingi, tunadanganywa tumesajili wachezaji bora, benchi la ufundi bora, ila njoo uwaone sasa uwanjani[emoji706][emoji706]Hapana, Simba lunyasi anatuachia, ikibidi hata kwa Kibatala tutampelaka labda awe anatania.
Dah mapema mbonaSitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Sio utopolo sema utopwinyo
Swadakta. Lakini boli kiwanjani linatembea balaa, na hicho ndio cha msingiKWa hiyo kuanzia leo wewe UTOPOLO
Aiseeee! Naona unahasira Naye sana.Utarudi tu, msaliti wewe!
Kabla ya kuwa Simba ulitokea wapi?Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..
Nipo tayari kuitwa msaliti........