Nimehamia Yanga Rasmi

Nimehamia Yanga Rasmi

Kwahiyo miaka 2 ijayo Azam FC akianza kushinda kama afanyavyo Yanga kwasasa utahamia Azam?

Usishangae ukapata binti akawa miaka 2 anakaa Kwa Mume huyu miaka mitatu Kwa Mume yule mwingine, kisa amenunua Toyota Passo ili hali Mume wa awali anaendesha Baiskeli 🙌
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hilo jina limeshaisha muda wake, usiogope. Yaani tuna kazi, shabiki akitoka mbumbumbu FC ni Ahsante siyo Hasante [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sawa. Simba wametudingaya kumwacha chama na kumzushia ni mzee, lakini ametuumbua jana, wacha nifate pila biliani
 
umechelewa sana wengi walishahama kimya kimya..uoni game za yanga zinavyojaza sahivi..
labda chupa za maji ndo wanajaza kwa watu uwanjani ni urongo jana majukwaa yalikuwa matupu yaani hata watazamaji wangeamua kulala viti vilitosha kugeuzwa vitanda.
 
Kwahiyo miaka 2 ijayo Azam FC akianza kushinda kama afanyavyo Yanga kwasasa utahamia Azam?

Usishangae ukapata binti akawa miaka 2 anakaa Kwa Mume huyu miaka mitatu Kwa Mume yule mwingine, kisa amenunua Toyota Passo ili hali Mume wa awali anaendesha Baiskeli [emoji119]
Mufano wako hauna uhusiano na mpila, na huu ni huamuzi wangu binafsi, unataka nife mapema kwa msongo wa mawazo?? Wehuoni Yanga wanavyocheza vizuri?
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Anayekujua na kukuhamu vizuri wewe ni WEWE. Acha kuweka furaha yako kwenye mambo ambayo hauna uwezo wa kuyadhibiti.
 
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao basi ungana nao..

Nipo tayari kuitwa msaliti........
Mshabiki fuata upepo🧠
 
Back
Top Bottom