Mimi nataka hizo nyanya (kddn)..Kama uzi unavyosema ,nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani,sofa ,friji,kitanda,magodoro,TV,meza ya TV.vitu vyote vipo kigamboni kibugumo.View attachment 2904874View attachment 2904875View attachment 2904877View attachment 2904878
😳Huwezi hata kuangalia nyonyo zake kabla hajavaa jeki!!
Nipe uhakika.