INAUZWA Nimehamishwa kikazi, nauza vitu vya ndani

INAUZWA Nimehamishwa kikazi, nauza vitu vya ndani

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,305
Reaction score
5,355
Kama uzi unavyosema, nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani; sofa, friji, kitanda, magodoro, TV, meza ya TV.

Vitu vyote vipo Kigamboni Kibugumo.

Sofa 200,000
Tv solarmax 32" 250,000
Showcase 70,000
Cherehani mpya haijatumika hata maramoja 250,000
Magodoro matatu yote 250,000
Kitanda dabodeka 250,000
Meza ya jikoni 15,000
Friji 230,000

IMG-20240131-WA0001.jpg
IMG-20240131-WA0004.jpg
IMG-20240131-WA0006.jpg
IMG-20240131-WA0002.jpg
 
Sorry wadau nilikua bize na pilika za kuhama, bado sijauza hata kimoja kwa maana sikuwa na muda wa kuwasilina na wadau.
 
Kuhusu bei ningependa iwe maelewano maana maana mimi sio mfanyabiashara mzoefu na ni safari ya ghafla.
 
Back
Top Bottom