Nimehangaika sana bila mafanikio

Nimehangaika sana bila mafanikio

Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Tangazo lako lipo creative sana
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Jaribu kuongea na wazee
 
Miaka mitatu mingi na mda wote huo hujatoa mbegu hata usingizini, hii kitaalamu imekaaje......kiufupi hilo pigo ni kubwa wanawake hawa basi tu, wenye ujuzi msaidieni kijana mwenzetu asije kuachwa.
 
Dah mkuu bahati mbaya Mimi siwajui wataalamu maana sijawai kwenda huko namuomba Mungu Lakini sio kwamba naweza fanya miujiza ikatokea, ushauri wangu ni 1. Uende kwa watumishi wa Mungu eg mwamposa Ukiwa umedhamiria kweli (japo Sina uhakika kama watu wanaponywa au wanaigiza) 2. Tafuta mganga konki sio wa kuambiwa funga safari nenda kigoma au sehemu yoyote huko labda unaweza kupata jawabu la shida yako

aende kwa mwamposa.
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Ushauli wangu huwezi kutibu tatizo bila kujua chanzo cha utamaliza pesa bure kuna mchezo mchafu ila lazima ujue njoo pm kama hotojali usiweze muda wote kutapeliwa mwisho nikupe pole lenye mwanzo halikosi mwisho
 
Back
Top Bottom