Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
KAtubu dhambi zako tuAhsante mkuu kwa ushauri wako nifanyeje
Njoo pm nikuelekeze namna ya kutengeneza chai Fulani alafu utanitafuta mwenyewe Puna Yaleyale.Naomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Siamini katika kupgwa mkuu ila umakini na uungwana unahitajika kama una cha kunishauri nishauri tu mkuuKumsaidia mtu JF ni ngumu sana maana anaamini anaenda kupigwa, ndio maana hapa nashindwa kujua namna ya kukusaidia maana hata jambo lenyewe ni gharama kidogo. ila kama upo kigoma nakushauri utakaa hapo hadi upone ni tiba ya asili kiroho katika ule ulimwngu wetu
Ahsante kwa ushauri mkuu ila ningempata mtu maalum wa huko kigoma ingekuwa vizuri maana sina ndgu wala rafk ukoMtafute,huyo Kuna jamaa amemtengeneza au amemwekea vitu kwenye uchi wake
Jitajidi muwe mnatumia kondom kwenye mechi za kigeni.
Pia jitahidi usafiri uwende mikoa ya kigoma ,rukwa huko Kuna waganga wa ukweli.
Ahsante mkuu ntaziuliziaMkuu jaribu kutumia dawa zinaitwa seldenafil zipo madukan Kuna vidonge vya 1500,5000n na 7000
Meza mara moja utakuja kunishukur
Kwa yeyote anayetaka maelezo ya Bure anicheki Pm
Narudia Tena sitaki pesa Yako Wala chochote kutoka kwako nakusaidia for free
Kwamba ladha bado ni ile ile [emoji3]Hakuna kilichobadilika katika hiyo miaka 3. Ladha ya papa ni ile ile kwahiyo wala usihangaike hakuna jipya.
Ila nawaza nje ya mada, wife kavumilia miaka 3 yote bila dudu??
Amwambie Ukweli mkeweNdo bas tena.....maana anajua alichokufanyia
Za kupotea mkuuMkeo kaamua akunyooshe jumla jumla [emoji1787][emoji1787][emoji1787]naomba namba ake nimsalimie
Ni Benjamin Mkapa DodomaNenda kapandikize uume nilisikia MOI wanatoa hio huduma km sio MOI nenda Kairuki
Anatibu Ukimwi?Huyo ni ngaliba wa miti shamba sio mganga ndiomana nimekwambia mwambie tatizo Kwa ufupi baada ya yeye kupokea! Ni kijana mdogo sana lkn anatibu magonjwa mengi na makubwa ambayo siwezi kuweka hadharani!
Kama ulikuwa unasimamisha vizuri na unapiga show vizuri na ujapata ugonjwa tatizo lako dogo sana hapo kuna hiyo ni michezo ya kiswahili imefanyikaSorry mkuu kama una ushauri nambie hapa ili wengne wanipe ushauri zaidi kupitia ushauri wako au kama kuna sehem ya uhakika nielekeze, ahsante
Kuna mwamba kule juu alikupa ushauru mzuri Sana, ongea na huyo mchepuko pamoja na mkeo waambie ukweli wakusaidie. Wanawake wa kizigua ndo Wana hizo tabia. Akikuekea hizo dawa ukifanya na mwanamke mwingine mashine haisimami ila kwake yeye tu. Mtafute huyo mchepuko.But mm sio mzigua na wala sipo uziguani au demu ndo anaweza kuwa ndo mzigua
Weweulikula mke wa mtu..??Mzazi wa kike wa aina gani mkuu yeyote au mama angu maana kashafariki samahn kwa kuuliza lengo ni kupata suluhu
Nzuri mkuu, sijapotea nipo nimejaa teleZa kupotea mkuu
Mleta mada nikuulize swaliNaomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).
Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.
Natanguliza ahsante
Sawa mkuu, majukumu memaNzuri mkuu, sijapotea nipo nimejaa tele