Nimehangaika sana bila mafanikio

Nimehangaika sana bila mafanikio

Kama ulikuwa unasimamisha vizuri na unapiga show vizuri na ujapata ugonjwa tatizo lako dogo sana hapo kuna hiyo ni michezo ya kiswahili imefanyika

mchezo umechezwa na mkeo au yule mchepuko wako
Mchepuko alicheza kuwwa ukirudi kwa mkeo unhindered kupiga show ukiwa naye upige show sasa huwa dawa zinagoma matokeo yake unashindwa Kate Kate kwa mchepuko na kwa mkeo

Na mke akitengeneza kuwa ukienda nje ignore na kweli inanimate tu ukigusa uke inalala sasa huwa nazo zinagoma kwa mke na mchepuko kutotua kero hii

Nikishauri Kama kwenye familia yako kuna watu wazima hapa naongelea umri kuanzia miaka hamsini au dada , shangazi nani mshirikishe hii michezo wanandoa walikokaa mda mrefu imefanyika sana so wanajua itatua

Pia hata watu baki wa pembeni hasa ndugu wakitaka farakisha ndoa yako huwa wanaicheza hii wanajua usipopiga show mtachana tu ssasa dawa huwa nini

Samaki aina ya kambale mbichi yule mzima kabisa unamvua mzima kabisa yule huwa anachajwa kidogo tu akitoa damu inachukuliwa ile damu kisha yule kambale anarudi shwari majini ile damu inachqnganywa na mizizi furani hivi sawa inatwagwa inakuwa unga unga kisha mzee unachanjwa kidogo tu kwenye uume unatoa damu kisha unapakwa

Kisha unapewa miziz mingine tena unatafuna na chumvi mzee ukifanya asubuhi hakikisha usiku mama watoto yupo karibu mzigo unamka

Nilitaka uje Dm ukasema niandike hapa haya nimeandika usije DM ukija sitokujibu miye siyo mganga
Ahsante mkuu ushauri wako nimeuelewa sana samahan kwa nilotanguliza kusema
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
nitafute
 
Kazanazo nakupa hii test japo ngumu kabla sijakupa namba za huyo mtu ila uwe makini .nenda kwa mchepuko ukiweza kuperfom huu uzi ni tag
Mkuu cjakuelewa nianze kwenda kwa mchepuko mwngne kabla ya iyo no au unaanza kunipa ndo niende? Ila pia kama ni michepuko mingne nilijaribu ila haikusimama kuna alienambiaga nijaribu lkn wapii
 
hapo ipo hivi, kuna wanawake wana maroho nyemelezi ndani yao, na ikumbukwe unapozini na mwanamke unafanya maagano ya damu na roho au mizimu yake.
inakuwa hivi, kama yule mwanamke ulomla ana roho za magonjwa au umasikini nk utashangaa maisha yako yanakumbwa na magonjwa nk na umasikini nk.
Kwa suala lako, hapo naona kabisa kuna jambo la giza limefanyika. Haiwezekani ghafla tu ulikua unasimamisha halafu ishindikane kabisaa ghafla. Hapo uchawi mweusi umefanyika.
Funga kwa maombi siku tatu -saba, sali mara tatu kwa siku ukiombea suala lako hilo laana iliyowekwa ing'oke, na unywe maji tu au matunda pekee hasa tikitiki maji.
Pata muda kupumzika na tumia mda mwingi kutokuwaza tatizo.
Baada ya mfungo huo, siku hiyo yakufungua uwe nyumbani, kula vizuri, usiwe na mawazo yeyote hasi kuwa haisimami, mchukue mkeo, zama chumbani, mwambie leo nakushikisha adabu mke wangu, fanya romancing chukua dudu lako chomeka, uje useme hapa kama haitakuwa imesimama mpini
Kibaya zaidi mkuu uyo mchepuko nilipita nae kimasihara tu yaani nilipita nae tukaachana na hatukuonana tena na sina mawasilian
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Umelogwa ww pole yako
 
Kuna wanaume wameweka password kwa wake zao kwa Siri....una bahati hukufa baada ya kuchepuka. Tafuta mtu mwanamke uliyechepuka nae akuoneshe mume wake akufungue urudi normal vinginevyo utachakaa Sana.
 
hapo ipo hivi, kuna wanawake wana maroho nyemelezi ndani yao, na ikumbukwe unapozini na mwanamke unafanya maagano ya damu na roho au mizimu yake.
inakuwa hivi, kama yule mwanamke ulomla ana roho za magonjwa au umasikini nk utashangaa maisha yako yanakumbwa na magonjwa nk na umasikini nk.
Kwa suala lako, hapo naona kabisa kuna jambo la giza limefanyika. Haiwezekani ghafla tu ulikua unasimamisha halafu ishindikane kabisaa ghafla. Hapo uchawi mweusi umefanyika.
Funga kwa maombi siku tatu -saba, sali mara tatu kwa siku ukiombea suala lako hilo laana iliyowekwa ing'oke, na unywe maji tu au matunda pekee hasa tikitiki maji.
Pata muda kupumzika na tumia mda mwingi kutokuwaza tatizo.
Baada ya mfungo huo, siku hiyo yakufungua uwe nyumbani, kula vizuri, usiwe na mawazo yeyote hasi kuwa haisimami, mchukue mkeo, zama chumbani, mwambie leo nakushikisha adabu mke wangu, fanya romancing chukua dudu lako chomeka, uje useme hapa kama haitakuwa imesimama mpini
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Tafuta 10m, nenda Benjamin Mkapa hospital, wanaizimua fasta tu.
Ni kweli ni mill 10 mkuu au niende ntajulia hukohuko maana nilikuwa na wazo la kwenda hospital
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Kama una nauli fika kigoma nitafute kuna wamba wanalimudu hilo.
 
Ongea na huo mchepuko mwambie hio ishu, pia huyo mkeo ongea nae, na Je hata ukirudi kwa mchepuko pia dude haisimami? Ukishindwa nashauri Anza kufanya mazoezi ili uwe fundi wa kunyonya papuchi hadi upewe endorsement za papuchi show
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsan
 
Back
Top Bottom