gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
- Thread starter
-
- #61
Unachosema ni kweli kabisa dadaangu!..Lakini kama nilivyosema kwenye post yangu nyingine..mnaowapa kiburi hawa wakware ni nyie wenyewe wanawake..mfano wewe utakataa wenzako watakubali kisha watakusema. Kwa mantiki hii hata ukiweka hizo 'camera' hazitasaidia sana. Wako wanawake wengi ninowafahamu kwenye ofisi za umma waliwakatalia mabosi wao ngono na wala hawakufukuzwa wala nini..na wako wengine pia huu ndio mtindo wao..they use their femininity as a hook'. Ni vita ngumu but it should start with you to say NO!
Kudhalilika kwa kufanyiwa 'sexual harrasment' ni kosa kwa mujibu wa sheria za TAKUKURU. But how to justify it ndo imekuwa ngumu..as so many people fear about their destiny hasa kama inatokea unaendelea kufanya kazi kwenye the same office!.
unajua SnowBall. maswala haya yanahitaji kujitoa muhanga sana, manake mathalani wanawake wengi huwa tunahofia kuharibu sura zetu kwenye jamii. unaposema unaenda TAKUKURU ni sawa ila mpaka wathibitishe kuwa anayo hatia labda akukute naye chumbani nje na hapo kwakuwa wote ni mabosi watabebana tu ndio maana tunaona hawa takukuru hawana msaada kwenye swala la sexual harrasment.
yaani ukilivalia nuga sana hadi watoto wako wanakuwa humiliated manake watu watawacheka au kuwatania so unapokaa kimya una contain mengi sana. Msimamo wa mwanamke jasiri utabaki kuwa No tu. Hayo mengine yatasubiri neema ya Mungu manake unafika mahali huoni njia. hupendi kumuumiza mume na wanao.
Last edited by a moderator: