Nimeharibiwa week-end yangu.... lol!

Nimeharibiwa week-end yangu.... lol!

Unachosema ni kweli kabisa dadaangu!..Lakini kama nilivyosema kwenye post yangu nyingine..mnaowapa kiburi hawa wakware ni nyie wenyewe wanawake..mfano wewe utakataa wenzako watakubali kisha watakusema. Kwa mantiki hii hata ukiweka hizo 'camera' hazitasaidia sana. Wako wanawake wengi ninowafahamu kwenye ofisi za umma waliwakatalia mabosi wao ngono na wala hawakufukuzwa wala nini..na wako wengine pia huu ndio mtindo wao..they use their femininity as a hook'. Ni vita ngumu but it should start with you to say NO!
Kudhalilika kwa kufanyiwa 'sexual harrasment' ni kosa kwa mujibu wa sheria za TAKUKURU. But how to justify it ndo imekuwa ngumu..as so many people fear about their destiny hasa kama inatokea unaendelea kufanya kazi kwenye the same office!.

unajua SnowBall. maswala haya yanahitaji kujitoa muhanga sana, manake mathalani wanawake wengi huwa tunahofia kuharibu sura zetu kwenye jamii. unaposema unaenda TAKUKURU ni sawa ila mpaka wathibitishe kuwa anayo hatia labda akukute naye chumbani nje na hapo kwakuwa wote ni mabosi watabebana tu ndio maana tunaona hawa takukuru hawana msaada kwenye swala la sexual harrasment.

yaani ukilivalia nuga sana hadi watoto wako wanakuwa humiliated manake watu watawacheka au kuwatania so unapokaa kimya una contain mengi sana. Msimamo wa mwanamke jasiri utabaki kuwa No tu. Hayo mengine yatasubiri neema ya Mungu manake unafika mahali huoni njia. hupendi kumuumiza mume na wanao.
 
Last edited by a moderator:
Ukisimama imara utapata haki yako bila kuvua chupi, lakini ukilegea tu utapaka hiyo haki yako na kudhalilishwa juu! Nijuavyo wanaume, ukienda hiyo jmanne utakuta hajaifanyia kazi hiyo barua yako. Najua utapanic zaidi, ila uwe na moyo mkuu. Lakini jua kabisa hapo anapima stability, akiona uko ngangari atajiuliza huyu kwanini anajiamini hivi wakati wengine nimekula ndo nikawasaidia (kama ni tabia yake), hivyo ataifanyia kazi tu ingawa anaweza kuichelewesha kidogo.

Nina marafiki zangu wawili ni mabosi wa walimu, dah ndo tabia zao hizi, wenyewe wanadai ndo marupurupu yao! Hapo akili kichwani mwako, ila unavyolalamika, mhhh sijui kama una ubavu wa kuimili dada yangu. Tena unavyoenda kuomba ushauri kwa walimu wenzio wa kike ndo unaharibu kabisa, unadhani ambaye ameishapitiwa na huyo boss ktk mazingira kama yako atakushauri nini?
 
Filipo haiko hivyo, hata kama tunapenda kutongzwa ndo unitongoze ofisini tena ofisi ya serikali? kaziutafanya saa ngapi?

wewe unayafanya maisha kuwa magumu! Kwani where exactlly is the place kwa kutongoza au kutongoza!? Watu wanatongoza/wanatongozwa msibani, harusini, kanisani, kazini, hospitalini etc! Sio lazima ukutwe mtaani ndio uone ni sawa!
 
Last edited by a moderator:
Smart lady. Sasa nakupa mambo. Siku ukirudi kamsalimie halafu uwe friendly kabisa halafu muanzishe mawasiliano hadi uhakikishe mnapanga kwenda kula tunda. Huku nyuma wewe andaa takukuru na media. Maliza kazi.

itakuwa kujichoresha tu.... kakutongoza, umekataa, maisha yanaendelea... afterall kutongozwa ni sunna
 
gfsonwin nimekupenda sana mpenzi wangu....!inakwaje aisee....,??!

vip una nafasi weekend hii???!..yah!...i wanna take you out for nyama choma and sm few bottles....!please baby say yes!..

therafter we can hang out for some more fun!...clubbing and all that!....

can you do it for me swthrt???

sijakubali na nilisha sema sitomkubali kuisaliti ndoa yangu.

sijui ujumbe haujafika....
 
Ungekubali tu, angekuongeza cheo zaidi. Kwani hutaki cheo kikubwa?
 
Ukisimama imara utapata haki yako bila kuvua chupi, lakini ukilegea tu utapaka hiyo haki yako na kudhalilishwa juu! Nijuavyo wanaume, ukienda hiyo jmanne utakuta hajaifanyia kazi hiyo barua yako. Najua utapanic zaidi, ila uwe na moyo mkuu. Lakini jua kabisa hapo anapima stability, akiona uko ngangari atajiuliza huyu kwanini anajiamini hivi wakati wengine nimekula ndo nikawasaidia (kama ni tabia yake), hivyo ataifanyia kazi tu ingawa anaweza kuichelewesha kidogo.

Nina marafiki zangu wawili ni mabosi wa walimu, dah ndo tabia zao hizi, wenyewe wanadai ndo marupurupu yao! Hapo akili kichwani mwako, ila unavyolalamika, mhhh sijui kama una ubavu wa kuimili dada yangu. Tena unavyoenda kuomba ushauri kwa walimu wenzio wa kike ndo unaharibu kabisa, unadhani ambaye ameishapitiwa na huyo boss ktk mazingira kama yako atakushauri nini?
mito muda mwingine napatwa na uchungu wa haya maisha na kauli zako kuwa ndio marupurupu yao nazidi kuumia zaid. Tatizo mimi huwa nu mtu wa kulia sana nikikwazika nashindwa kuvumilia naanza kualia. Yaani sijui kama hiyo j4 hajanisainia nitafanyaje manake nitajikuta nalia tu. Sipendagi mateso au kitu kinachoumiza mwenzenu. sijui nimeumbwaje.

sasa wewe kama haja saini hadi j4 nifanyeje niondoke tu pasi kumuuliza? au niache kwenda hadi muda upite achoke aamue kusaini? na ataamua lini? nisaidie kaka yangu mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mimi huwa nu mtu wa kulia sana nikikwazika nashindwa kuvumilia naanza kualia. Yaani sijui kama hiyo j4 hajanisainia nitafanyaje manake nitajikuta nalia tu

hapo ndio jamaa atakapochukulia points...utabembelezwa, utafutwa machozi, utaambiwa ukachukue wikiendi maana atakuwa ameshaini then before you know it.....
 
hapo ndio jamaa atakapochukulia points...utabembelezwa, utafutwa machozi, utapewa ahadi tamu then...

sasa umenionyesha point of weekness, haya niambie jinsi ya kufanya basi.
 
Mkosefu wa akili na ni mfinyu wa akili so achana nae,Hana adabu na huenda ata shemeji na watoto zake anatafuna huyo. Pole mwenzangu hayo matatizo yanatukuta sana kwenye ofic za watu
 
Pole.....ila siku ingine uwe unamwambia hapo hapo ili ajifunze sio kwako tu na kwa wengine pia......kama wewe leo umeweza kumuepuka kesho atakuja mwingine atashindwa kumuepuka......ukiweza mrudie ukampe makavu live ili akome na akomae.....pole kwa kuharibu siku.
 
Back
Top Bottom