Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Kama uchawi unashindwa kuroga mtu basi uchawi hauna nguvu
Tofauti na risasi mtu akikutwanga kupona bahati
Sasa huo uchawi mnaougopa nguvu yake ipo wapi
The Devil anaoperate especially kushambulia kwanza akili, saikolojia yako, na nadhari za maarifa na ufahamu, hatua ya physical coercion kwa nguvu za giza hufanywa mara nyingi kimkakati au kwa mtu asiyeweza kurogeka, so to speak. Last resort kwa mtu aliyeshindikanika kwa Shetani ni kumdungua kimabavu. But operations zote ni nguvu ya siri isiyoonekana. Imagine upandikiziwe ugonjwa mwilini ambao kimsingi haupo wala haujulikani wapi ni wapi!?
 
huko kwenye shuhuda za kupigwa fungu la 10 hapana. Kuna walokole flani ndio nipo nao wao sadaka tu huduma inaendelea.
😂😂😂😂 Nimechekaa
Ila Mungu amsaidie jamani
 
Nguvu ya risasi tunajua ukipigwa risasi ukipona bahati au nguvu ya AIDS tunaijua ukipata AIDS kama usipotumia dawa tunakuzika mapema
Swali huo uchawi nguvu yake ipo wapi?
nikuulize swali... kwanini umejipa hilo jina IBLIS BIN SHETAN..?? ni nini maana yake..??
 
Uchawi upo lakini hauna madhara yoyote.

Ni wajinga wajinga tu wanaotumia nguvu fulani za ajabu kuleta kero za hapa na pale.

Niliwahi kuishi nyumba fulani inayosemekana ina wachawi lakini hawakunifanya lolote.

Walikuwa wanapiga piga makelele tu mida ya usiku lakini hawakunifanya kitu.

Waje waniroge kama wanaweza!
 
Sasa wewe MUHA una chale mpaka za unyolo unategemea watakugusaje. Wakati wanakuona untouchable.
 
The Devil anaoperate especially kushambulia kwanza akili, saikolojia yako, na nadhari za maarifa na ufahamu, hatua ya physical coercion kwa nguvu za giza hufanywa mara nyingi kimkakati au kwa mtu asiyeweza kurogeka, so to speak. Last resort kwa mtu aliyeshindikanika kwa Shetani ni kumdungua kimabavu. But operations zote ni nguvu ya siri isiyoonekana. Imagine upandikiziwe ugonjwa mwilini ambao kimsingi haupo wala haujulikani wapi ni wapi!?
Umeongea point kubwa sana wengi wanaosema kuna uchawi wanakuwa wameathirika kiakili
Mm siwezi kuogopa kitu ambacho kwnza hakipo na hakina nguvu mpk ukiogope au kikutie hofu ndio kifanye kazi huoni hapo ni psychological disoder na wala sio uchawi
 
Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.

Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.

Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.

Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa

Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Usiamini watu wanaokana uchawi. Angalia manabii (Pastors, wachungaji) kwa mfano, wanajifanya kukemea uchawi huku makanisa yao yakiwa yamelindwa na ndumba za kujikinga na uchawi na kuroga waumini wao kiasi kwamba wanakuwa hawajitambui.
 
unahisi shock inapona kwa Dua, ama kwa vidonge na ushauri wa daktari hospitalini...?
Mm nahisi hapo alikuwa na anxiety tu kwakuwa amepanda katika jukwaa
Na anxiety inapona kwa counselling na ikishindikana kwa counselling hapo ndio unaweza kufikiria kumpa dawa za akili
 
Kila kitu ni iman ukiwa na iman unaweza kuhamisha hata mlima wanalogwa wanaamin uchawi upo au wapo katikati nguvu kubwa ipo kwenye mimea ikiijua mmea hakuna uchawi wala nini uchawi ni mzingaobwe na viini macho vuta bhangi kama kuna mtu atakuroga Sali Sana kama Kuna mchawi atakatiza
 
So where did you come from??? Where did this world come from, pls???
Where did this world come from?

Mbona hujauliza "where did God come from?"

Kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo, basi lazima pia mungu awe ana chanzo. Hawezi tu kuwepo bila chanzo.

Kama anaweza kuwepo bila chanzo, basi hata dunia inaweza kuwepo bila chanzo pia.

Tunajuaje kama muda ni kitu halisi? Huenda hakuna muda.

Muda ni kitu kilichotengenezwa na binadamu! Ndio maana unakuja na maswali ya dunia imetoka wapi!

Dunia haijatoka popote. Ipo pale pale infinitely.
 
nikuulize swali... kwanini umejipa hilo jina IBLIS BIN SHETAN..?? ni nini maana yake..??
Kuprove wrong watu kuwa Iblis na Shetani does not exit
Hizo ni imani zilizochanganyika na psychological disoder
Na kama Iblis yupo au shetan nani aliwahi kumuona?
 
Mm nahisi hapo alikuwa na anxiety tu kwakuwa amepanda katika jukwaa
Na anxiety inapona kwa counselling na ikishindikana kwa counselling hapo ndio unaweza kufikiria kumpa dawa za akili
kumbuka huyu ni mzee wangu... hali aliyokuwa nayo kipindi hicho, naifahamu mimi, na nilimpeleka mimi mwenyewe kwenye tiba, tuishie hapa tu, amini unavyo amini
 
Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.

Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.

Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.

Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa

Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Lakini kumbuka uchawi hatubiki kwa uchawi, bali kwa kumtegemea Mungu
 
Back
Top Bottom