Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mkuu wee unakubali upo?Bwana Shetani unakataa uchawi haupo mbona una saliti jina lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wee unakubali upo?Bwana Shetani unakataa uchawi haupo mbona una saliti jina lako
Giza kwa giza uponyaji wake ni wa muda mfupi, giza na mwanga ndiyo dawa pekeeMuwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Sawakumbuka huyu ni mzee wangu... hali aliyokuwa nayo kipindi hicho, naifahamu mimi, na nilimpeleka mimi mwenyewe kwenye tiba, tuishie hapa tu, amini unavyo amini
Hapo uliposema mpanagi mmoja ndiyo alikua anafuatiliwa hukaweka bayana babu yake alivyokuja akafanyaje sasaMuwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Kuna kisa nlishuhudia kwa macho yangu nashawishika kusema upoMkuu wee unakubali upo?
Kuna mtumishi wa Mungu mmoja namjua ni rafiki yangu sana sana, kuna eneo nilimpatia aweke makazi alikutana na vimbwanga sio mchezo, alikua anasikia sauti na vishindo nje ya nyumba, na ilifika mahala walikua wanatokea na watu live yani live jicho kwa jicho lakini hakuacha kuombaMuwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Na mm kuna kisa nilishuhudia katika macho yangu na kuamini uchawi hakunaKuna kisa nlishuhudia kwa macho yangu nashawishika kusema upo
Hayajakukuta siku yakikukuta ndio utaelewa waafrika ni watu wa namna ganiHizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Unatakiwa ujue namna ya kupambana naoNawachukua Sana wachawi.
Sisi wenyewe tulishamfanyia baba mdogo vimbwanga ili ahame alipokua anaishi kinyume na sheria mpka leo anaamini ni uchawii na huwezi mbadilisha....kumbe wajuba tulitupia mashuka meupe na nukuchezea akili yake tuKuna mtumishi wa Mungu mmoja namjua ni rafiki yangu sana sana, kuna eneo nilimpatia aweke makazi alikutana na vimbwanga sio mchezo, alikua anasikia sauti na vishindo nje ya nyumba, na ilifika mahala walikua wanatokea na watu live yani live jicho kwa jicho lakini hakuacha kuomba
Siyo untouchable; ukijisajili unakuwa mwanachama wao, na wanakutumia kwenye misheni na mikakati yao ya giza. Usitegemee Shetani akawa na uadui na agents zake. Hawa wanakuwa na uhasama na wale wanaowapinga -- watu wale ambao wako chini ya UFALME WA NURU.Sasa wewe MUHA una chale mpaka za unyolo unategemea watakugusaje. Wakati wanakuona untouchable.
Mwambie kwanini watu hawajaenda Lwangwa kupiga kampeni, unajua hao wanapinga wanakuwa ni mawakala tena wachawi wakubwa wanapumbaza ili watu wasijue siri zao, wenyewe ni waturutumbi wakubwa kabisaWe unafikiri Magu yuko kixeng xenge pale. Ha ha my friend wanasiasa wana kamati za Ulinzi mpaka katika ulimwengu usioonekana, chukulia mfano ile mambo ilimkutaga kusini kipindi ile bila kuwa imara unafikiri ingetokea nini?...Watu wapo vizuri mno!
Njia rahisi ya mtu ambaye haamini uchawi ni kujiingiza kwenye siasa kwa ku compete na nguli nakupa mmoja tu wa fasta. Nenda kagombee jimbo la Christopher Mulugo Songwe huko...
Hahahah kuna maeneo yamoto sana, huko kuna kamati za hali ya juu katika ufalme wa giza😂😂😂Mwambie kwanini watu hawajaenda Lwangwa kupiga kampeni, unajua hao wanapinga wanakuwa ni mawakala tena wachawi wakubwa wanapumbaza ili watu wasijue siri zao, wenyewe ni waturutumbi wakubwa kabisa
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Haupaswi kuugopa uchawi kwa vyovyote vile, kwa sababu hata ukiuogopa huwezi kuudhibiti kwa hofu yako. Hofu na woga vinamfanya mtu awe vulnerable zaidi. Hii ni njia ambayo wengi huitumia kukutisha ili utafute ulinzi kwenye himaya yao ya giza. Hakuna eneo lolote la mwili wa mwanadamu asikoweza kushambulia Iblisi. Anashambulia akili, nafsi ya ndani ya roho na hisia, na mwili. Na anafanya kirahisi na kiustadi mkubwa, ukiwa mbishi huwezi kudhani ni nguvu ya giza. Kumkana Shetani kwa akili tu ni kazi bure.Umeongea point kubwa sana wengi wanaosema kuna uchawi wanakuwa wameathirika kiakili
Mm siwezi kuogopa kitu ambacho kwnza hakipo na hakina nguvu mpk ukiogope au kikutie hofu ndio kifanye kazi huoni hapo ni psychological disoder na wala sio uchawi
Mtajuta maisha yote watu wanakuwa wanawaona hamjielewi kumbe kuna mtu kawaweka target, usiombe haya, ukimjua Mungu ndiyo utajua vita hii si yakitotoIla yote kwa yote Jamani..ombeni msiwe na mchawi kwenye familia au ndugu wa karibu either wa baba au mama na awe amewaweka kwenye target yake..Jamani..Tushukuru tu nguvu za Mungu zipo.
Safi umejibu vzr soma post yangu ya mwisho hapo chini kuhusu yaliotokea vita vya maji majiHaupaswi kuugopa uchawi kwa vyovyote vile, kwa sababu hata ukiuogopa huwezi kuudhibiti kwa hofu yako. Hofu na woga vinamfanya mtu awe vulnerable zaidi. Hii ni njia ambayo wengi huitumia kukutisha ili utafute ulinzi kwenye himaya yao ya giza. Hakuna eneo lolote la mwili wa mwanadamu asikoweza kushambulia Iblisi. Anashambulia akili, nafsi ya ndani ya roho na hisia, na mwili. Na anafanya kirahisi na kiustadi mkubwa, ukiwa mbishi huwezi kudhani ni nguvu ya giza. Kumkana Shetani kwa akili tu ni kazi bure.
Ni kama upepo, hauonekani kwa macho, ila athari zake ni wazi kabisa, na zinatambulika. Ndiyo maana uchawi ni nguvu za giza. Imagine mtu anaweza kuhamishwa ndani anakolala, akabebwa kishirikina na kulazwa nje, asubuhi akiamka yuko nje, na milango alikuwa amefunga!Uchawi haupo that's why hata wewe huujui
Kama unaujua uchawi naomba unieleweshe uchawi ni nini?
Na nikiuona nitaujuaje?