huko kwenye shuhuda za kupigwa fungu la 10 hapana. Kuna walokole flani ndio nipo nao wao sadaka tu huduma inaendelea.😂😂 Jamani pole yake..mpelekeni kawe huko kwenye shuhuda🤣
The Devil anaoperate especially kushambulia kwanza akili, saikolojia yako, na nadhari za maarifa na ufahamu, hatua ya physical coercion kwa nguvu za giza hufanywa mara nyingi kimkakati au kwa mtu asiyeweza kurogeka, so to speak. Last resort kwa mtu aliyeshindikanika kwa Shetani ni kumdungua kimabavu. But operations zote ni nguvu ya siri isiyoonekana. Imagine upandikiziwe ugonjwa mwilini ambao kimsingi haupo wala haujulikani wapi ni wapi!?Kama uchawi unashindwa kuroga mtu basi uchawi hauna nguvu
Tofauti na risasi mtu akikutwanga kupona bahati
Sasa huo uchawi mnaougopa nguvu yake ipo wapi
unahisi shock inapona kwa Dua, ama kwa vidonge na ushauri wa daktari hospitalini...?Unajuaje kama uchawi je kama alipata Shock au Hypertension au Anxiety ikapeleka kudondoka
Wewe ulijuaje kama uchawi huo?
😂😂😂😂 Nimechekaahuko kwenye shuhuda za kupigwa fungu la 10 hapana. Kuna walokole flani ndio nipo nao wao sadaka tu huduma inaendelea.
Unaelewa maana ya uchawi?Wewe unasema uchawi upo mm nakuambia hakuna that's why nikakuambia kama uchawi upo nyinyi mnajuaje kama huu ni uchawi au huo uchawi una nguvu gani?
nikuulize swali... kwanini umejipa hilo jina IBLIS BIN SHETAN..?? ni nini maana yake..??Nguvu ya risasi tunajua ukipigwa risasi ukipona bahati au nguvu ya AIDS tunaijua ukipata AIDS kama usipotumia dawa tunakuzika mapema
Swali huo uchawi nguvu yake ipo wapi?
Amen😂😂😂😂 Nimechekaa
Ila Mungu amsaidie jamani
Sasa wewe MUHA una chale mpaka za unyolo unategemea watakugusaje. Wakati wanakuona untouchable.Uchawi upo lakini hauna madhara yoyote.
Ni wajinga wajinga tu wanaotumia nguvu fulani za ajabu kuleta kero za hapa na pale.
Niliwahi kuishi nyumba fulani inayosemekana ina wachawi lakini hawakunifanya lolote.
Walikuwa wanapiga piga makelele tu mida ya usiku lakini hawakunifanya kitu.
Waje waniroge kama wanaweza!
Umeongea point kubwa sana wengi wanaosema kuna uchawi wanakuwa wameathirika kiakiliThe Devil anaoperate especially kushambulia kwanza akili, saikolojia yako, na nadhari za maarifa na ufahamu, hatua ya physical coercion kwa nguvu za giza hufanywa mara nyingi kimkakati au kwa mtu asiyeweza kurogeka, so to speak. Last resort kwa mtu aliyeshindikanika kwa Shetani ni kumdungua kimabavu. But operations zote ni nguvu ya siri isiyoonekana. Imagine upandikiziwe ugonjwa mwilini ambao kimsingi haupo wala haujulikani wapi ni wapi!?
Usiamini watu wanaokana uchawi. Angalia manabii (Pastors, wachungaji) kwa mfano, wanajifanya kukemea uchawi huku makanisa yao yakiwa yamelindwa na ndumba za kujikinga na uchawi na kuroga waumini wao kiasi kwamba wanakuwa hawajitambui.Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Mm nahisi hapo alikuwa na anxiety tu kwakuwa amepanda katika jukwaaunahisi shock inapona kwa Dua, ama kwa vidonge na ushauri wa daktari hospitalini...?
Uchawi haupo that's why hata wewe huujuiUnaelewa maana ya uchawi?
ukipata jibu utajua tunajuaje kwamba huu ni uchawi..!
Where did this world come from?So where did you come from??? Where did this world come from, pls???
Bwana Shetani unakataa uchawi haupo mbona una saliti jina lakoUchawi hakuna hizo imani tu
Kuprove wrong watu kuwa Iblis na Shetani does not exitnikuulize swali... kwanini umejipa hilo jina IBLIS BIN SHETAN..?? ni nini maana yake..??
kumbuka huyu ni mzee wangu... hali aliyokuwa nayo kipindi hicho, naifahamu mimi, na nilimpeleka mimi mwenyewe kwenye tiba, tuishie hapa tu, amini unavyo aminiMm nahisi hapo alikuwa na anxiety tu kwakuwa amepanda katika jukwaa
Na anxiety inapona kwa counselling na ikishindikana kwa counselling hapo ndio unaweza kufikiria kumpa dawa za akili
Lakini kumbuka uchawi hatubiki kwa uchawi, bali kwa kumtegemea MunguMuwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.