Mkuu...KUWA na akiba ya Maneno.. usijiombee mikosi... Wenzako tunaomba Mungu hayo yasitufike.Hivyo vitisho mnatoa sana ila tukiwaambia mturoge mnashindwa. Tuokoe nguvu na muda niroge au tafuta mchawi aniroge badala ya kunipa vitisho hewa.
Wakati fulani wachawi ama washirikina wanaweza kuinfluence jinsi matukio yatakavyofanyika maishani mwa watu baadaye, kiasi kwamba wanaonekana kana kwamba wanatambua matukio ya baadaye. Mara nyingi hii inatokea pale watu wanapowaamini na hivyo kile walichowatabiria kinakuwa "blue-print" ya mwenendo mzima wa maisha yao so much so that kile walichotabiri kinawatokea. Hali hii pia, mbali na kutumiwa na hao watu wa nguvu za giza, hutumiwa na wataalamu wa saikolojia. Hivyo, ipo pande zote mbili.Kuna sister alienda chimbo anataka kuolewa na yule Mzee akamfanyia kazi Kisha akamwambia mwanaume wa 3 kukutongoza ukirudi town lazima akuoe kwa harusi ndani ya siku 90 zijazo. Wiki mbili zilizopita tumekula wali ndani ya time frame ile ile ya mtaalam.
Vilingeni kama wapi?Hawapo huku mkuu, nenda vilingeni kwao uje tuletee ushuhuda
Kinje yalimkuta na majimaji yake.Uchawi ungekuwepo:-
Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro
Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu
Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu
Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia
Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc
Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
Actually Mungu wakati wote anataka tuwe salama; lakini, jinsi mazingira yalivyo, athari za uchawi haziepukiki kabisa hata kwa wale wanaojiweka kwa Mungu maisha yao yote. Lakini kujitenga na Mungu ni sababu kubwa mojawapo ya kutekwa na kushambuliwa na nguvu za giza. Hii haina maana kwamba watu wa Mungu (meaning, waumini waaminifu) wao hawashambuliwi. Hapana. Ila tofauti tu ni kwamba waumini wao wanakuwa na ulinzi zaidi. Wanaweza kushambuliwa, wanaweza kupigwa na magojwa kichawi na ushirikina, wanaweza kufanyiwa mauzauza ya ajali, lakini bado wakawa na ulinzi wa Mungu ama wakawa bado watu wa Mungu. Simply, hakuna aliye immune dhidi ya nguvu za giza. Na usikute walio waumini ndiyo washambuliwao mara kwa mara na nguvu za Shetani.Uchawi upo na unafanya kazi ...Ila kukupata Ni kadari ya Mwenyezi Mungu.
Hii inatokea pale ambapo mchawi anatafuta kukugombanisha na ndugu, jamaa ama rafiki au hata mwenzio, mfanyakazi, whoever mwenye mahusino na wewe. Sasa unakuta vitu vinakutokea, kwa mfano, hisia (ambazo ni kawaida kwa mwanadamu) zinakupeleka kumtilia mashaka na kumhofu mtu fulani kuwa ndiye mchawi anayekusumbua. Wengi wanagombana. Ndoa zinavunjika na hata biashara zinaharibika kabisa, bila kujua mhusika mwenyewe yuko pembeni anavuta nyuzi za kutawala mawazo yenu na kuwachonganisha. Hata wakati mwingine mtu anaweza kuona kabisa ndotoni juu ya mbaya wake fulani -- na pengine asiwe yeye hata kidogo. Ndiyo maana watu wamefikia hatua ya kuuana ama kutengana kwa sababu tu ya chuki za hisia ya kishirikina. Hii isingeweza kuruhusiwa kama watu wangetambua kwamba uchawi ni nguvu beyond uwezo wa kawaida kibinadamu. Na ndivyo Shetani anavyopenda kufanya mambo yaaminike ndivyo siyo ili azidi kudanganya na kuwanasa wengi zaidi.Kuna mtu keshawai nisingizia Uchawi... Wewe Dada Rachel ..Mimi hayo mambo Wala siyajui maskini... Sijui nilikufanyaje Hadi ukaniita Mchawi... Nimemuachia Muumba wa mbingu na ardhi... Anitetee
Ndo maana nikasema uchawi upo..ila kukupata NI "KADARI YA MUNGU"Actually Mungu wakati wote anataka tuwe salama; lakini, jinsi mazingira yalivyo, athari za uchawi haziepukiki kabisa hata kwa wale wanaojiweka kwa Mungu maisha yao yote. Lazikini kujitenga na Mungu ni sababu kubwa mojawapo ya kutekwa na kushambuliwa na nguvu za giza. Hii haina maana kwamba watu wa Mungu (meaning, waumini waaminifu) wao hawashambuliwi. Hapana. Ila tofauti tu ni kwamba waumini wao wanakuwa na ulinzi zaidi. Wanaweza kushambuliwa, wanaweza kupigwa na magojwa kichawi na ushirikina, wanaweza kufanyiwa mauzauza ya ajali, lakini bado wakawa na ulinzi wa Mungu ama wakawa bado watu wa Mungu. Simply, hakuna aliye immune na nguvu za giza. Na usikute walio waumini ndiyo washambuliwao mara kwa mara na nguvu za Shetani.
Mkuu...KUWA na akiba ya Maneno.. usijiombee mikosi... Wenzako tunaomba Mungu hayo yasitufike.
Kiboko yao ni Jina la Yesu Kristo.Muwe mnasikai tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta.
Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Ni sawa na kurekodi ndoto ya mtu uione kwenye video, haiwezekani, hata mtu akirogwa bado ipo gizani ndio mana hata ukienda hospitalini utaambiwa mashine haziwezi kugundua chanzo cha ugonjwa wako
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Hapo zamani sijui kama sikuhizi bado vipo, Mashuleni ya porini huko boarding visa vya wanafunzi kukutana na vibwengo ilikuwa ni kawaida sana
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Mimi simjui Mchawi wakukuroga Wala sikuombei kurogwa..Me naombea mkuu kama unamjua mchawi awezaye kuniroga tafadhali fanya hivyo.
Mkuu mbona mgumu kuelewa, naona una tatizo la kuelewa vitu kwa haraka inabidi ueleweshwe mara nyingi ili uelewe (kilaza).Uchawi ni nini? Unaweza kuu define uchawi ni nini?
Ukisema "uchawi una lengo la kumuweka mtu matatizoni" bado huja define uchawi, kwa sababu hata uongo unaweza kuwa na lengo la kumuweka mtu matatizoni, hata kumpiga mtu risasi kunaweza kuwa na lengo la kumuweka mtu matatizoni.
Unaweza kuthibitisha hicho unachofikiri ni uchawi ni uchawi kweli na si kitu kingine ambacho hukijui tu?
Kawaida hiyo.Mimi simjui Mchawi wakukuroga Wala sikuombei kurogwa..
Ila Ni kheri kukaa kimya kuliko kuomba mikosi ikupate.
Uchawi upo siku zote.Mimi Pia nilikua siamini hadi nimepata matatizo sasa NAAMINI ASILIMIA MIA UCHAWI UPO!!!
Nikiwa na mimba ya miezi mitano niliota nagombania mtoto wangu na watu wawili mwisho wa siku na kweli mwanangu kafa kiajabu ajabu
all in all Mungu yupo ye ndio anaruhusu kila jambo linalotokea cha muhimu ni kumuomba Mungu kwa imani yako!
Acha kuamini ushirikina ndio mana africa hatuendelei kwa akili hizo za kuamini upuuzi.wenzetu wanawaza kwenda sayari nyingine sisi tunaamini ujinga wa ushirikina ,hakuna uchawi wala nini duniani ni imani tu za kijingaWatu wanateseka na uchawi wewe unafanya mzaha pumbavu zako tena ukome kupotosha watu MBWA WEWE MUSSA NA MTUME WALIROGWA WEWE MBWA KASORO MKIA UMEOKOTA WAPI UPUMBAVU HUO MNAPOTOSHA WATU WANAANGAMIA NYIE MNACHEKELEA MAMA ZENU WASHENZI NYIE
Nitafute nikupeleke mkuuVilingeni kama wapi?
Wewe ulienda ukawaona?
Mapolis tenaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatarrMkuu mbona mgumu kuelewa, naona una tatizo la kuelewa vitu kwa haraka inabidi ueleweshwe mara nyingi ili uelewe (kilaza).
Ushaambiwa uchawi unahusisha nguvu za giza wewe unaanza kuleta tena hoja za mapolisi, Duh ipo kazi, Labda utafute mtu mtaekaa nae siku nzima akueleweshe, Mbona wengine wanaelewa fasta tu, wewe siku ya pili hii huelewi tu [emoji16][emoji16]
Njoo PM nipe ratiba kamili na sikuNitafute nikupeleke mkuu