Labda na ATM zimerogwa.. unajuaje!?Maana ya uchawi kwangu ni wivu na husda tu,ntaamini uchawi siku nikiweza kuroga Atm zitoe pesa ninavyotaka.
Labda hao wazungu nao wachawi kuliko mababu zetu!? Who knows!Uchawi ungekuwepo:-
Wakoloni wasingewanyanyasa Babu zetu kiasi kile mpaka wanaume wanne wakiwa nusu uchi wanambeba mwanaume mmoja wa kizungu juu kuanzia Kigoma mpaka Kilimanjaro
Wasingechapwa mijeledi kiasi kile na waarabu
Wanaume wa kinijeria wasingechukuliwa watumwa na kupelekwa America kutumikishwa wazee wao waangalie tu
Timu za Simba na Yanga zingekuwa club bingwa za dunia
Wachezaji wa kibongo wangechezea Barca, Real Madrid, Liverpool etc
Mwisho kabisa hao wachawi wenyewe wangekuwa ni matajiri wakubwa mno sio wa kuomba kuletewa Kuku mweusi
Ni kweli uchawi ni upuuzi; lakini pia ni nguvu za giza zenye madhara na uharibifu mkubwa na mauti.Kumbe wachawi wanaenda majuzi eeh!! Me nilidhani kwa situation Kama hiyo akikukuta anakuua kabsa,Kama ndo hivyo back uchawi ni upuuzi
Basi tumeelewana, hakuna ubishi tena. Unakubali uchawi ni halisi; ndivyo ninavyoamini pia. Ninachoamini kingine ni kuwa kuna nguvu nyingine kubwa ambayo inatufanya tuwe salama na tuendelee kuwa hai. Ndiyo maana nikasema, mshukuru sana Mungu kwa ulinzi mkubwa alokupatia ili aendelee kukulinda maisha yako na shughuli zako.Hata mm nimekubali kwa unayosema wala sipingi kwangu mm uchawi hauna nguvu wala hauniwezi kwa lolote siwezi kurogwa mpk nife kwa uchawi hiko kitu hakuna kwangu
Ila kwako uchawi upo tena una nguvu na tena una nguvu na unaweza kukuroga ww na ukafa mara moja
Tatizo kuamini Katika Mungu hakuondoi wewe kupata majaribio to the fullest extent ya uchawi au ushetani na nguvu zake.Basi tumeelewana, hakuna ubishi tena. Unakubali uchawi ni halisi; ndivyo ninavyoamini pia. Ninachoamini kingine ni kuwa kuna nguvu nyingine kubwa ambayo inatufanya tuwe salama na tuendelee kuwa hai. Ndiyo maana nikasema, mshukuru sana Mungu kwa ulinzi mkubwa alokupatia ili aendelee kukulinda maisha yako na shughuli zako.
Hiyo sentensi ya mwisho ondoa, aisee!hujaelewa,sijasema confidence ilizuia uchawi nilichosema kwamba huyo bibi aliamua kumpotezea kutokana na confidence yake kuonesha hana ubaya.
Kwani kuwa na urafiki na mtoto wa mchawi ni kosa?halafu ukizingatia wote ni watoto tu,akitaka kuthibitisha kama huyo bibi kweli ni mchawi au sio mchawi akishakuwa mkubwa aende kumdhulumu kiwanja au kitu chochote chenye thamani ndio ataona.
Uchawi huwa hautumiki kwa michezo ya kitoto
Utatuharibia mjadala tafadhali, tafadhali!?! Nashauri tu afungue uzi mwingine, tutakuja kumsoma huko.Unaweza ukatutajia majina ya hao wabunge na mawaziri please!!
Aisee! Una mawazo finyu sana juu ya nguvu za giza, ndiyo maana unabisha sana. Usidhani uchawi lengo lake ufe tu basi. No! Never! Ni pamoja na kifo, inapobidi, lakini ni pale inapokuwa kwenye mpango wa yule mkuu wa giza mwenyewe. Hawa wachawi, wasihiri, walozi, waganga, waaguzi, washirikina na watu wa ndumba ni watumwa na vibaraka tu ambao kazi yao ni kutekeleza maelekezo na masharti ya mkuu wa mapepo. Ukijua hili, basi utakuwa na mwanzo mzuri wa kuelewa. Sasa lengo kuu ni kuzidi kuujenga ufalme wa huyu Iblisi mwasi. Kumbuka kuna nguvu mbili zinapambana duniani -- nguvu ya Mungu na nguvu ya Shetani. Mashetani yatatafuta kila namna ili kukuangamiza pale tu unapokinzana na ufalme wao, unapokuwa tishio kwa maslahi yao, unapokiuka masharti yao kama tayari wewe ni mfuasi, au wanapoona huna tena faida kwao, basi unadhalilishwa kwa fedheha, mwisho wake mauti. Habari imeishia hapo! Wao wana taimu na wale wenye kuwaletea manufaa, na hao ndio wanalindwa na kuhudumiwa na kupewa heshima na uwezo na ushawishi na kadhalika.Kama hivyo vitu havipo basi ujue uchawi hauna nguvu
Uchawi ni imani kama vitu vingine kijana acha kuogopa lakn siwezi kukulazimisha kukubali endelea kuugopa uchawi mm nadunda duniani lkn kuhusu uchawi siwezi kurogwa wala kufa kwa uchawi kwangu mm hiko kitu hakitotokea never
Ila kwako kinaweza kukutokea ila sio lazima ukubali navyosema
Mpaka sasa duniani hakuna anaujua uchawi kama upo na unafanya kazi au la habari za uchawi zimekuwa za siri kwakuwa uchawi hauna nguvu yoyote na matokeo ya uchawiuchawi ili uweze kufanya kazi lazima wewe unaerogwa lazima ukubali kuwa uchawi upo na una nguvu usipo kubali haurogeki hata kwa bakora
Kuna safari moja katika maisha yangu nilikuwa na uhusiano na mtoto mmoja mweupe mzuri huyo aisee pale mtaan watu walikuwa wanomuogopa kipindi hiko niko form 4 kwakuwa bibi yake alikuwa eti mchawi
Mh kwa ule uzuri aisee nilisema siwezi kumuacha maana kwanza alinifata mwenywe eti nimfundshe hesabu
Mtaa mzima ulikuwa unamuogopa huyo bibi ila yule bibi nikienda kumuulizia mjukuu wake ananikaribisha tu vzr kwake watu achana na huyo mtoto huyo bibi mchawi atakuroga watu mtaani waninipa ushauri
Mm nikasema uchawi hauna nguvu that's why wachawi wengi maskini hawawezi kujisaidia kupitia huo uchawi
Tukadumu na yule mtoto kwa miaka kama 3 na wala sikurogwa
Ningewasikiliza watu wa mtaani nisingempata
Na haya ndio maneno ya watu kila siku uchawi uchawi ulishawahi kuuona au kuhushudia ?
Na kama umeona umejuaje kama huu ni uchawi?
Mpaka sasa duniani hakuna anaujua uchawi kama upo na unafanya kazi au la habari za uchawi zimekuwa za siri kwakuwa uchawi hauna nguvu yoyote na matokeo ya uchawiuchawi ili uweze kufanya kazi lazima wewe unaerogwa lazima ukubali kuwa uchawi upo na una nguvu usipo kubali haurogeki hata kwa bakora
Kuna safari moja katika maisha yangu nilikuwa na uhusiano na mtoto mmoja mweupe mzuri huyo aisee pale mtaan watu walikuwa wanomuogopa kipindi hiko niko form 4 kwakuwa bibi yake alikuwa eti mchawi
Mh kwa ule uzuri aisee nilisema siwezi kumuacha maana kwanza alinifata mwenywe eti nimfundshe hesabu
Mtaa mzima ulikuwa unamuogopa huyo bibi ila yule bibi nikienda kumuulizia mjukuu wake ananikaribisha tu vzr kwake watu achana na huyo mtoto huyo bibi mchawi atakuroga watu mtaani waninipa ushauri
Mm nikasema uchawi hauna nguvu that's why wachawi wengi maskini hawawezi kujisaidia kupitia huo uchawi
Tukadumu na yule mtoto kwa miaka kama 3 na wala sikurogwa
Ningewasikiliza watu wa mtaani nisingempata
Na haya ndio maneno ya watu kila siku uchawi uchawi ulishawahi kuuona au kuhushudia ?
Na kama umeona umejuaje kama huu ni uchawi?
Labda hiyo ni ndoto tu ya kawaida. Hakuna haja ya kuhofu lolote kama ukiwa na Mungu. Ndoto zipo tu. Najua pia wakati mwingine ndoto ni ishara ya mambo mbalimbalimbali maishani mwa mtu au watu wengine. But all in all, take it easy!Jana usiku nimeota inapiga radi ya kwanza,ya pili...ya tatu nikashtuka usingizi ukakata sikulala mpaka mida ya waislamu
Amekiri, anakubali kabisa. Ameeleza hapo juu.Ukisoma vizuri hii article yako paragraph ya pili unakili uchawi upo hapo unapo sema" ili ufanye kazi lazima wewe uane rogwa ukubali" ajabu bado una bishi uchawi haupo
Mtu unaitwa Iblis Bin Shetan halafu bado unatuambia uchawi haupo. Wewe ni mmoja ya hao wenye kufanya shirki/uchawi.Uchawi hakuna hizo imani tu
Soma posti zake taratibu, utanielewa, aisee! Hapo mwisho anakiri wazi hii kitu ipo. Tatizo tu anadai yeye hawezi kurogwa. Ameambiwa amshukuru Mungu kwa sababu ndiye amempatia huo ulinzi wa kutowangiwa na washirikina. Hilo jina inabidi sasa afanye mchakato wa kubadili, itakuwa poa. I hope umeelewa!?Mtu unaitwa Iblis Bin Shetan halafu bado unatuambia uchawi haupo. Wewe ni mmoja ya hao wenye kufanya shirki/uchawi.
Na wachawi wote huwa mna tabia ya kukana uwepo wa uchawi kwenye mijadala mbalimbali.
Twende kwa facts.Mkuu mbona mgumu kuelewa, naona una tatizo la kuelewa vitu kwa haraka inabidi ueleweshwe mara nyingi ili uelewe (kilaza).
Ushaambiwa uchawi unahusisha nguvu za giza wewe unaanza kuleta tena hoja za mapolisi, Duh ipo kazi, Labda utafute mtu mtaekaa nae siku nzima akueleweshe, Mbona wengine wanaelewa fasta tu, wewe siku ya pili hii huelewi tu ππ
Haha..!
Mwanangu bado hujakolea, nataka nikukoleze mpaka ukiskia jina langu popote unaamka..!
Nimekuelewa Mkuu.Na kwakweli hilo jina alibadili maana lina walakini.Soma posti zake taratibu, utanielewa, aisee! Hapo mwisho anakiri wazi hii kitu ipo. Tatizo tu anadai yeye hawezi kurogwa. Ameambiwa amshukuru Mungu kwa sababu ndiye amempatia huo ulinzi wa kutowangiwa na washirikina. Hilo jina inabidi sasa afanye mchakato wa kubadili, itakuwa poa. I hope umeelewa!?
Hawa wanao pinga vikali hua ndio wahusika wakuu,sa'bu maranyingi watu wanao jihusisha na mambo haya huwezi kawa zania kbs hua ni wacha Mungu sana na ktk ibada never miss,iweje ww ubishe wkt mtu ame simulia yalio mkuta...na hum pia mpoo tuu πππHizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Kwakweli ume nena,sa'bu jitu linapinga vikali na mifano juu...Uchawi upo Sana na wanaokataa uwepo wa uchawi ndio wachawi wenyewe
Hapana inaaminika kuwa wao ni wachawi zaidi barani Africa, kama inavyosadikiwa ni kweli wangekuwa mbali sana katika dunia hiiMpaka umeselect Nigeria manake kua unasadiki wao ni magwiji wa hizo kazi