Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Eti "brain disorders"!?Mimi huwa nasema kuwa, madai mengi ya uchawi au mtu kurogwa, most likely huwa ni brain disorders.
Kibongo bongo bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya ufahamu juu ya hizo brain disorders.
Kuna brain disorder moja inaitwa Alice in Wonderland Syndrome.
Alice in Wonderland Syndrome: Symptoms, Treatment, and More
With Alice in Wonderland syndrome, you may experience episodes of feeling larger or smaller than you are. Learn why this happens and more.www.healthline.com
Hii mtu akiwanayo bongo, kwa mfano tu, culprit namba moja atakuwa ni ‘uchawi’.
Fungua hiyo link uone AIWS ni nini na dalili zake ziko je. Mambo ya size distortion, perceptual distortion, time distortion
Halafu nambie kama ikimtokea mtu bongo ataenda spitali kwa psychiatrist au ataenda kwa mganga...
Halafu bongo kuna psychiatrists wa kutosha kweli?
1. Wachawi wanagusa financial well-being ya mtu na kumvurugia kabisa biashara yake; anaweza kuuawa -- kurogwa akafa au ugonjwa usiponyeke kabisa. Unaweza kuwa unahama mguuni hadi mkononi. Ukitibu unahamia kichwani au mguu mwingine. How do you explain that naturally???
2. Matukio mengi mbalimbali, mathalani uvamizi na ujambazi yanahusishwa na ushirikina. Mfano mwingine ni ajali nyingi kwenye nchi kavu, angani hata baharini. Dereva ghafla anamwona mtu anakatiza barabara, akijaribu kumkwepa anapinduka, ajali inatokea. Wakichunguza, wala hata hakuwepo mtu yeyote kihalisia.
3. Ndoa na wapenzi wanapumbazwa na kuharibiwa akili kishirikina. Au, mtu anamwiba mke wa mtu, wakiwa kwenye tendo inashindikana "kunasuka" hadi mchawi awatenganishe. Kijana amempa binti mimba, ile mimba inahamishiwa tumboni mwake mwenyewe. Au mwanamke ana ujauzito miezi karibu kujifungua, ghafla mimba inatokeweka tu hivyo -- inapotea kama vile hakikuwemo chochote tumboni.
4. Wanafamilia wamelala ndani, mlango wamefunga; asubuhi yake wanajikuta wameamkia huko misituni au porini mbali tu.
5. Mtu anaenda kwa mganga kutafuta utajiri, anapewa maelekezo kuukata mgomba fulani kwa panga, kwa mfano. Akirudi nyumbani, mmoja wa wanafamilia yake kafa. Mara huyo amekuwa milionea tajiri mkubwa.