Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Mimi huwa nasema kuwa, madai mengi ya uchawi au mtu kurogwa, most likely huwa ni brain disorders.

Kibongo bongo bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya ufahamu juu ya hizo brain disorders.

Kuna brain disorder moja inaitwa Alice in Wonderland Syndrome.

Hii mtu akiwanayo bongo, kwa mfano tu, culprit namba moja atakuwa ni ‘uchawi’.

Fungua hiyo link uone AIWS ni nini na dalili zake ziko je. Mambo ya size distortion, perceptual distortion, time distortion

Halafu nambie kama ikimtokea mtu bongo ataenda spitali kwa psychiatrist au ataenda kwa mganga...

Halafu bongo kuna psychiatrists wa kutosha kweli?
Eti "brain disorders"!?

1. Wachawi wanagusa financial well-being ya mtu na kumvurugia kabisa biashara yake; anaweza kuuawa -- kurogwa akafa au ugonjwa usiponyeke kabisa. Unaweza kuwa unahama mguuni hadi mkononi. Ukitibu unahamia kichwani au mguu mwingine. How do you explain that naturally???

2. Matukio mengi mbalimbali, mathalani uvamizi na ujambazi yanahusishwa na ushirikina. Mfano mwingine ni ajali nyingi kwenye nchi kavu, angani hata baharini. Dereva ghafla anamwona mtu anakatiza barabara, akijaribu kumkwepa anapinduka, ajali inatokea. Wakichunguza, wala hata hakuwepo mtu yeyote kihalisia.

3. Ndoa na wapenzi wanapumbazwa na kuharibiwa akili kishirikina. Au, mtu anamwiba mke wa mtu, wakiwa kwenye tendo inashindikana "kunasuka" hadi mchawi awatenganishe. Kijana amempa binti mimba, ile mimba inahamishiwa tumboni mwake mwenyewe. Au mwanamke ana ujauzito miezi karibu kujifungua, ghafla mimba inatokeweka tu hivyo -- inapotea kama vile hakikuwemo chochote tumboni.

4. Wanafamilia wamelala ndani, mlango wamefunga; asubuhi yake wanajikuta wameamkia huko misituni au porini mbali tu.

5. Mtu anaenda kwa mganga kutafuta utajiri, anapewa maelekezo kuukata mgomba fulani kwa panga, kwa mfano. Akirudi nyumbani, mmoja wa wanafamilia yake kafa. Mara huyo amekuwa milionea tajiri mkubwa.
 
Hahaaaa una stori nyingi kweli wewe!
 
Acha kuamini ushirikina ndio mana africa hatuendelei kwa akili hizo za kuamini upuuzi.wenzetu wanawaza kwenda sayari nyingine sisi tunaamini ujinga wa ushirikina ,hakuna uchawi wala nini duniani ni imani tu za kijinga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Really!?? Pole sana aisee!!!
 
Ungejua maana ya imani ungefahamu
Au nikuulize nini maana ya imani kama unafahamu
Dah! Tukianza kuulizana maswali juu ya maswali, nadhani tunaweza tusifike tunakoenda, au siyo!? Hebu nenda tu moja kwa moja kwenye jibu, uwanja huu wote mpaka kule ni wako!!!
 
Kwahyo wachawi wanawapotezea boko haram,IS, Al shabab etc kwasab ni wageni na hawana bifu nao,wanawapotezea mabeberu yanayotunyonya waafrica kwenye madini na rasilimali zetu nyingine kwasab ni wageni na hawana beef nao,[emoji848][emoji848][emoji848]
Jamaa alikuwa na maana tofauti, nadhani; mfuatilie kwa makini hapo alichosema. Hao jamaa wanakuwa kila mmoja na malengo yake, kulingana na assigment ya yule mkuu wa giza mwenyewe.
 
Hapo kwenye kuona sababu ya kudhuru,kwann wactumie uchawi kumalizana na makundi ya kigaidi,etc
Jua yale makundi nayo mara nyingi ni raia wa ufalme uleule; sasa mtifuano ndani kwa ndani huwa si kipaumbele cha mkuu wa giza. Ajenda yake kuu ni kukuza ufalme wake -- wengi wauone kuwa ndio wenye faida na unaofaa zaidi. Kitu ambacho ni uongo wa wazi.
 
Mm sifanyi shirki nyinyi mnaesema kuna uchawi ndio wachawi wenywe
Wewe umejuaje kama kuna uchawi kama sio mchawi
Hapa umemjibu haraka, aisee! Kumbe, kwa mfano, ili kujua kwamba Mungu yupo, mpaka uwe ni Mungu??? Mtu yeyote anayetumia nguvu za giza au kushiriki matendo ya giza ni mshirikina, mchawi.
 
Mkuu uchawi ni neno pana sana kuanzia uchawi au miujiza yote yanafataa njia moja kifanya vitu ambavyo kwa akili ya kawaida haiwezekani
Wengi hawajui uchawi ni nini that's why sisi tunaojua tunawacheka tunawatania kwakuwa mnaongea kitu hamkijui
 
Kwani hapo mko wangapi, aisee!?? Au mko kilingeni??? Maelezo yako, umenifanya sasa nimeanza kuamini huenda ama umejitoa ufahamu makusudi au tayari na wewe ubongo mkuu wa giza ameshaudungunyua.
 
Sijasema mm mchawi lakini namaanisha kuweza kukomand super natural power sio uchawi
Hata Musa alikuwa anacomand super natural power lakini nyinyi mnasema miujiza rejea vzr quran utaona hilo
Au Yesu wa biblia alikuwa anacomand super natural power wayahudi wenywe wakamwimbia anamtumia Belzebul lkn nyinyi wakristo na waislam mnasema miujiza wakati hiko kitu kimoja
 
Kwa hiyo unaweza "kukomand supernatural power"!??
 
Hivi vitu Kuna UCHAWI ,SHETANI, MUNGU kila mutu Ana amini tofauti na kila mtu na uelewa wake maana havionekani vilipo Wala vinapo ishi tuna viamini kwa simulizu za kwenye vitabu au story za mababu zetu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mungu yupo hayupo? Hacha kuzungumza kauli za jumla. Hata kama hajawahi mtu kumwona Mungu, but kila mtu anaamini Mungu yupo. Thus, Shetani yupo. Nguvu za giza, uchawi, mapepo, mauzauza, hivyo vyote ni halisi. Wale hata huhitaji kusimuliwa.
 
Back
Top Bottom