Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hii inahusianaje na mada?Huko unaenda mbali sana. Wewe unajua kwa nini umefikaje hapa duniani??? Why kati ya mbegu zote countless za kiume moja tu iliyotunga mimba yako ndiyo imefanikiwa wewe ukapatikana??? Sasa usiseme tu chochote maana hakuna mwanadamu anayeshi tu purely kwa uwezo wake mwenyewe.
Show us how are they relate pls