Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Hii inahusianaje na mada?

Show us how are they relate pls
 
Hapo ndo ujue mchawi huwa mtumwa, means hana control na ile nguvu ya giza. Yeye ni agent tu wa mmiliki wake ambaye ni Ibilisi. Sasa mipango yote anairatibu Ibilisi na mashetani wenzake ili kutimiza makusudi yao madhalimu duniani.
 
Hii inahusianaje na mada?

Show us how are they relate pls
Ina maana kila mwanadamu anaishi kwa mamlaka na uwezo wa Muumbaji. Sasa ukitoka kwenye channel yake lazima automatically unakuwa kwenye channel ya Ibilisi. Hapo unakuwa unatumika kama apendavyo yeye mwenyewe, na wewe usitambue kabisa ukadhani uko sawa kabisa.
 
Hapo ndo ujue mchawi huwa mtumwa, means hana control na ile nguvu ya giza. Yeye ni agent tu wa mmiliki wake ambaye ni Ibilisi. Sasa mipango yote anairatibu Ibilisi na mashetani wenzake ili kutimiza makusudi yao madhalimu duniani.
Aisee...hivi unajua kuwa unatoa maelezo mengine badala ya kujibu maswali yangu.

Ok, ninakuuliza swali lingine rahisi :

Wewe ulishudia lini uchawi? Na ilikuwa wapi?
 
Kwa mfano kama nani vile aliyetoka kwenye channel akakutana na hicho kisanga cha uchawi?

Lete mfano halisi kinagaubaga tuendelee...
 
Hakuna uchawi.

Kama upo, nitoleeni mfano mimi.

Nirogeni.

Karibu miaka 10 sasa nishatoa challenge ya wachawi kuniroga lakini bado nipo tu.

Hahahaaa.

Hakuna uchawi.
Kuna vijana fulani wawili walijifanya waganga wa kienyeji (family zao walikuwa waganga), wakaenda huko maeneo ya kusini kuagua watu na kutafuta pesa. Walirudishwa kwao wakiwa maiti. True story.
 
Unabadilisha magoli. Nimekwambia niroge au tafuta mchawi yeyote aniroge kama huwezi sema huwezi sitaki hizo ngonjera zako.

Nakufananisha na mbwa anaeenda kila siku kwa duma kumuomba washindane mbio ila duma hana muda kabisa huku mbwa akidhani yeye ndio mshindi.

Mtu huna hata pikipiki unafurahi eti wezi wa pikipiki wameshindwa kukuibia 😁😁

kakojoe ulale, uwahi shule
 
Aisee...hivi unajua kuwa unatoa maelezo mengine badala ya kujibu maswali yangu.

Ok, nimekuuliza swali lingine rahisi :

Wewe ulishudia lini uchawi? Na ilikuwa wapi?
Mimi nina visa vingi sana nimeshuhudia aisee! Zingine ni fascinating, almost unbelievable, zingine ni frustrating. I am not lying. Sitasimulia, ntaishia kusema tu that thing is VERY, VERY real kabisa. Usidanganyike na mtu yeyote. Watu wanaweza kukataa, lakini wanakataa tu wasichokijua!
 
Hakuna uchawi.

Kama upo, nitoleeni mfano mimi.

Nirogeni.

Karibu miaka 10 sasa nishatoa challenge ya wachawi kuniroga lakini bado nipo tu.

Hahahaaa.

Hakuna uchawi.
Huna utofauti na kilaza anaeimna aibiwe maarifa yake, kilaza anafurahi wezi wameshindwa kwake 😁😁

Jiongeze utaelewa
 
Kama ni Real na hupendi nidanganyike weka hicho kisa hapa tutathmini.

Usipoweka tutajua tu kuwa ni same Porojo za kila siku
 
Kama ni Real na hupendi nidanganyike weka hicho kisa hapa tutathmini.

Usipoweka tutajua tu kuwa ni same Porojo za kila siku
Najua bila shaka umesikia visa vya uchawi watu wakivisimulia kwamba wameshuhudia maishani mwao au whatever, suala linabaki palepale kwenye kuamini. Maana kama ni kisa kwani mtu anashindwa kutunga? Kweli vipo visa watu wanajitungia, lakini kuna visa halisi kabisa. Believe it or not.
 
Mimi huwa nasikia na Hakika naamini zote ni za kutungwa

Umesema vipo visa halisi, hivyo ndivyo nahitaji kupata kutoka kwako

Ulishuhudia uchawi lini? Wapi?
 
Mimi huwa nasikia na Hakika naamini zote ni za kutungwa

Umesema vipo visa halisi, hivyo ndivyo nahitaji kupata kutoka kwako

Ulishuhudia uchawi lini? Wapi?
Nimetangulia kusema hapo awali kwamba kweli nimeshuhudia visa vingi na vya ajabu kuhusu ushirikina, ila sitavisimulia. Ninachoweza kusema hapa ni kwamba hiyo kitu ni halisi KABISA! No jokes. Ni very serious business katika ulimwengu wa giza. Najua watu wanaojua, watakubaliana na hiki ninachosema. Halafu, umesema umewahi kusikia hizi stori wakisimulia watu, mbona sasa hujaamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…