Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Haya kwaher ibilisiSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kwaher ibilisiSawa
Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea
Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Ni sawa na kurekodi ndoto ya mtu uione kwenye video, haiwezekani, hata mtu akirogwa bado ipo gizani ndio mana hata ukienda hospitalini utaambiwa mashine haziwezi kugundua chanzo cha ugonjwa wako
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Hapo zamani sijui kama sikuhizi bado vipo, Mashuleni ya porini huko boarding visa vya wanafunzi kukutana na vibwengo ilikuwa ni kawaida sana
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Weka chanzo mkuu sio unaongea tu maana mdomo unaumba 😁😁Mshana,alisha wahi sema kwamba"mchawi awezi kukupata kama auja ingia kwenye mtandao wao.
Alimaanisha kwamba kitendo cha wewe kwenda kwa mganga kutatua matatizo yako,apo ndio unaingia kwenye mtandao pia.
kwa maelezo hayo basi kama na wewe ilisha wahi kuwa mshilikina basi,lazima wachawi wata kunanasa kiraisi.
Mshana Jr.
Siyo lazima "kwenda kwa waganga" ndipo uwe umeingia "kwenye mtandao" wa kishetani. Kwenda kwa waganga ni mfano mojawapo tu miongoni mwa sampuli zisizohesabika za mtandao wa Iblisi kuwanasia watu wajiunge kwenye ufalme wake wa giza. Kuna very clear physical, mental, spiritual & psychological "frequencies na anga" za mapepo ambazo ukikatiza, lazima tu rada ya adui ikunase.Mshana,alisha wahi sema kwamba"mchawi awezi kukupata kama auja ingia kwenye mtandao wao.
Alimaanisha kwamba kitendo cha wewe kwenda kwa mganga kutatua matatizo yako,apo ndio unaingia kwenye mtandao pia.
kwa maelezo hayo basi kama na wewe ilisha wahi kuwa mshilikina basi,lazima wachawi wata kunanasa kiraisi.
Mshana Jr.
Acha sifa basiHizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Najifunza kwamba haukubali uchawi au ushirikina upo kwa sababu hujarogwa wewe. Je hiyo unaona ni sababu ya msingi ya kutowepo uchawi???Mpaka sasa duniani hakuna anaujua uchawi kama upo na unafanya kazi au la habari za uchawi zimekuwa za siri kwakuwa uchawi hauna nguvu yoyote na matokeo ya uchawiuchawi ili uweze kufanya kazi lazima wewe unaerogwa lazima ukubali kuwa uchawi upo na una nguvu usipo kubali haurogeki hata kwa bakora
Kuna safari moja katika maisha yangu nilikuwa na uhusiano na mtoto mmoja mweupe mzuri huyo aisee pale mtaan watu walikuwa wanomuogopa kipindi hiko niko form 4 kwakuwa bibi yake alikuwa eti mchawi
Mh kwa ule uzuri aisee nilisema siwezi kumuacha maana kwanza alinifata mwenywe eti nimfundshe hesabu
Mtaa mzima ulikuwa unamuogopa huyo bibi ila yule bibi nikienda kumuulizia mjukuu wake ananikaribisha tu vzr kwake watu achana na huyo mtoto huyo bibi mchawi atakuroga watu mtaani waninipa ushauri
Mm nikasema uchawi hauna nguvu that's why wachawi wengi maskini hawawezi kujisaidia kupitia huo uchawi
Tukadumu na yule mtoto kwa miaka kama 3 na wala sikurogwa
Ningewasikiliza watu wa mtaani nisingempata
Na haya ndio maneno ya watu kila siku uchawi uchawi ulishawahi kuuona au kuhushudia ?
Na kama umeona umejuaje kama huu ni uchawi?
Kwahyo wachawi wanawapotezea boko haram,IS, Al shabab etc kwasab ni wageni na hawana bifu nao,wanawapotezea mabeberu yanayotunyonya waafrica kwenye madini na rasilimali zetu nyingine kwasab ni wageni na hawana beef nao,[emoji848][emoji848][emoji848]
Mpaka sasa duniani hakuna anaujua uchawi kama upo na unafanya kazi au la habari za uchawi zimekuwa za siri kwakuwa uchawi hauna nguvu yoyote na matokeo ya uchawiuchawi ili uweze kufanya kazi lazima wewe unaerogwa lazima ukubali kuwa uchawi upo na una nguvu usipo kubali haurogeki hata kwa bakora
Kuna safari moja katika maisha yangu nilikuwa na uhusiano na mtoto mmoja mweupe mzuri huyo aisee pale mtaan watu walikuwa wanomuogopa kipindi hiko niko form 4 kwakuwa bibi yake alikuwa eti mchawi
Mh kwa ule uzuri aisee nilisema siwezi kumuacha maana kwanza alinifata mwenywe eti nimfundshe hesabu
Mtaa mzima ulikuwa unamuogopa huyo bibi ila yule bibi nikienda kumuulizia mjukuu wake ananikaribisha tu vzr kwake watu achana na huyo mtoto huyo bibi mchawi atakuroga watu mtaani waninipa ushauri
Mm nikasema uchawi hauna nguvu that's why wachawi wengi maskini hawawezi kujisaidia kupitia huo uchawi
Tukadumu na yule mtoto kwa miaka kama 3 na wala sikurogwa
Ningewasikiliza watu wa mtaani nisingempata
Na haya ndio maneno ya watu kila siku uchawi uchawi ulishawahi kuuona au kuhushudia ?
Na kama umeona umejuaje kama huu ni uchawi?
Sasa ushasema vyumba havitumiki unashangaa nn sasa??ushawah kutoka kutoka na kuangalia LIVE jinsi milango inavyofanya mauzauza??
Mkuu nitaogopaje kitu ambacho hakina nguvu kama wewe uogope kwa sasa hivi karanga watu wakwambie karanga zinauaNijifunza kwamba haukubali uchawi au ushirikina upo kwa sababu hujarogwa wewe. Je hiyo unaona ni sababu ya msingi ya kutowepo uchawi???
Exactly! Jamii nyingi zinazoendekeza uchawi, mara nyingi ndizo zinazoongoza kwa umaskini na elimu duni na maradhi. Uchawi unaharibu ubongo, uwezo wa kufikiri, nk. Inafikia hatua mtu anapuuza tu tatizo alilonalo akidhani ni kitu cha kawaida kinachoweza kutoweka chenyewe.
Umeongea points sana ya kujiamini uchawi una principle zake ukizijua huwezi kurogwaKumpata huyo mtoto sio kigezo kwamba uchawi hauna nguvu,inawezekana huyo bibi hakuona sababu ya kukudhuru kwa sababu hauna kibaya ulichomfanyia alichukulia wewe ni rafiki wa mjukuu wake.
Na kingine pia confidence yako ilikusaidia kwa kuonesha kwamba wewe si mtu mbaya,ila ungekuwa unaenda kwa kuvizia hapo angekutilia mashaka.
hujanielewa vizuri nafikir.Umeongea points sana ya kujiamini uchawi una principle zake ukizijua huwezi kurogwa
Nimekuelewa sana ila mm navyoamni uchawi hauna nguvu kama hutokubali kuutii wengi wenu mnaabudu uchawi ndio maana mnarogwahujanielewa vizuri nafikir.
Hakushindwa kukuroga kama angehitaji ila confidence ilikusaidia uonekane hauna lengo baya nao.
Ni sawa sawa unspotembelea kwenye nyumba inayofuga mbwa mkali ukiingia getini yule mbwa huwa hakurupuki kumng'ata mtu from nowhere bali huwa anaisoma saikolojia yako ukienda kwa kujiamini anakuacha anajua wewe ni mgeni salama ila ukienda kwa kubabaika huku unatetemeka atakuona wewe ni mhalifu na kukudhuru.
Ndio sawa sawa na huyo bibi mchawi saikolojia aliyoitumia ila hao wenzako wa mtaani walikuwa wanashindwa kwenda na kukosa confidence kwa sababu tayari wanajulikana ni wahuni sio watu wazuri.
Nimekuelewa sana ila mm navyoamni uchawi hauna nguvu kama hutokubali kuutii wengi wenu mnaabudu uchawi ndio maana mnarogwa
Ndio maana nikakuambia uchawi lazima uukubali kwanza kuwa upo na una nguvu ndio utafanya kazi huko usukumani wengi wanaabudu ushirikina that's why uchawi upo na ndio maana wachawi wengi maskini kwakuwa uchawi hauna nguvu kama una nguvu wafanye uchawi waweze kujikwamua na umasikini.ukitaka kujua uchawi upo au haupo nenda vijijini kama usukumani halafu uwaambie wazee kwamba hakuna kitu kinaitwa uchawi na kama kipo kitu kinaitwa uchawi wakuoneshe
Kuna kitu unachanganya kidogo.Ndio maana nikakuambia uchawi lazima uukubali kwanza kuwa upo na una nguvu ndio utafanya kazi huko usukumani wengi wanaabudu ushirikina that's why uchawi upo na ndio maana wachawi wengi maskini kwakuwa uchawi hauna nguvu kama una nguvu wafanye uchawi waweze kujikwamua na umasikini
Pili kuwepo uchawi haimanishi kuwa una nguvu kushinda vitu vyote duniani kila kitu kina mipaka yake
Kama kweli uchawi upo na una nguvu kwanini serikali isingetumia njia rahisi kuwatumia huo uchawi wapinzani wote wafe waende huko kijijini kukusanya wachawi na wawatumie kuwaua wapinzani
Na hivyo hivyo wapinzani waende huko kijijini kutafuta uchawi na kuwatumia viongozi wote wa CCM wafe
Badala yake hayo yote yanashindikana why unadhani jibu uchawi hauna nguvu
Mwenyewe nimeckia ila kumbe nyuma ya pazia walimu walikuwa wanatafuta sababu ya kupewa uhamisho waende maeneo ya mjiniMara ngapi walimu wana lalamika huko kigoma kufanyiwa vitendo vya kishirikina kama kujikuta wame lala nje , kuchapwa viboko na matukio mengi ya ajabu ajabu
Wengine wanafuta uhamisho kijanjaSiamini kwenye maneno waje na proof aisee ... jitu linalewa linaenda kulala nje kesho yake kuua soo anasema kabebwa na wachawii