Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Mkuu Jasmon uchawi ni sehemu ya super natural power kiuhalisia uchawi una vigezo vyake
Lakini uchawi sio kila kitu au una nguvu kama watu wanavyoaamini kwangu mm uchawi kama ni elimu za super natural power kama ilivyo numerology au astrology au metapysics
Vipi mkuu umetazama video hiyo?
 
PUMBAVU WEWE DUNIA NZIMA INATAMBUA UCHAWI UPO NA VITABU VYOTE VYA DINI VIMEZUNGUMZIA UCHAWI WEWE NI NANI TUKUAMINI TOFAUTI NA VITABU VYA DINI SUBIRI SIKU INAKUJA UTASHIKA ADABU ULAYA KOTE NI,MEKWENDA UCHAWI UPO WEWE NI MJINGA TOKA JAMHURI YA WAPUMBAVU AREA 51 UNAIJUA WEWE BERMUNDA TRIANGLE UNASEMAJE JUU YA HIYO TOA UPUMBAVU WAKO HAPA.
hujaenda ulaya kwa muandiko huu hata la saba hujamaliza,endelea kuamini mambo ya kishirikina wenzako wanapiga kazi wanasonga mbele ingekua uchawi upo timu za afrika zingeshinda kombe la dunia,sumbawanga kungekuwa na matajiri kuliko bakhresa,fanya kazi kijana uchawi na ushirikiana ni imani tu za kipumbavu na wanaomaini pia ni wapumbavu
 
Unadhani kwa nini watu wanaua albino au kutoa kafara za damu na wengine wanatajirika??? Fuatilia vimbwanga kwenye migodi na baharini na maeneo mbalimbali kama hayo utaelewa hiki tunachozunguza. Kuna wanawake wanapata mimba miezi tisa kabisa mtu anapimwa hospital, then mimba inatoweka kabisa, bila miscarriage wala maumuvu yoyote -- yaani, inapotea tu hivyo basi. Mtu amelala, anaamka asubuhi amevuliwa nguo na kunajisiwa. Au jamaa amegombana na jirani, halafu ghafla anakuwa bubu kama alivyoapizwa na adui yake.
watu wanaua albino kwa ujinga tu kama mlio nao nyinyi kuamini vitu ambavyo havipo wafatilie hao walioua albino utakuta utumbo mtupo hakuna lolote,huko migodini na baharini ni imani tu ila ukienda hukuti lolote zaidi ya hearsay,wanawake kupata mimba na kuharibika ni jambo la kawaida la kisayansi akienda hopsital ataambiwa tatizo,mtu aliyelala akaamka amevuliwa nguo huo ni ugonjwa wa kawaida unaitwa symbulism kama sijakosea,yani mtu anaamka anatembea anatoka hadi nje akiwa usingizini halafu asubuhi hakumbuki,kunajisiwa ni nuongo otherwise uniambiwe wewe ushawahi kunajisiwa ila kama umehadithiwa tu endelea kuhadithiwa
 
Mkuu mbona hua nakuona muelewa sana umekuaje? yaani mtu na familia yake wakalale nje? huo ulevi wangapi wanakunywa na hawali nje ? mpka serikali ina ingilia kati hawajui kama ni ulevi?
huo ni ugonjwa upo,mtu anatembea anatoka hadi nje akiwa usingizini
 
hujaenda ulaya kwa muandiko huu hata la saba hujamaliza,endelea kuamini mambo ya kishirikina wenzako wanapiga kazi wanasonga mbele ingekua uchawi upo timu za afrika zingeshinda kombe la dunia,sumbawanga kungekuwa na matajiri kuliko bakhresa,fanya kazi kijana uchawi na ushirikiana ni imani tu za kipumbavu na wanaomaini pia ni wapumbavu
ULAYA HAUKWENDA MWANDIKO WANGU NILIKWENDA MIMI HATA HIVYO KWA UPUMBAVU WAKO UNAAMINI WOTE WALIOKO ULAYA WANAANDIKA KAMA WEWE. KORANI NA BIBLIA ZIMEUTAJA UCHAWI TUKUAMINI WEWE PUNGUANI AU TUAMINI VITABU VINAVYOONGOZA DUNIA?
 
Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea

Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Ni sawa na kurekodi ndoto ya mtu uione kwenye video, haiwezekani, hata mtu akirogwa bado ipo gizani ndio mana hata ukienda hospitalini utaambiwa mashine haziwezi kugundua chanzo cha ugonjwa wako

Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.

Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.

Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa

Hapo zamani sijui kama sikuhizi bado vipo, Mashuleni ya porini huko boarding visa vya wanafunzi kukutana na vibwengo ilikuwa ni kawaida sana

Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Watu wanaokuambia uchawi haupo ndo wachawi wenyewe hao wanakwepa kuzungumziwa.
 
Pale ununio stand kuna eneo haliuziki kila anayenunua anashindwa kuendelea na ujenzi eneo lishauzwa zaidi ya Mara 6 inasemekana wauzaji wa kwanza wana mgogoro
 
Roho ya kijasiri ndio roho gani kwenye uchawi mkuu?
Isiyo na wasiwasi maana unapokua muoga na uchawi ndio unajikuta Kua mhanga wa uchawi zaidi.

Unaweza kuumwa tumbo kawaida ukajihisi umepigwa ata zongo(kimbola) so wasiwasi unazidi kukuponza na uchawi
 
Huwezi kuroga bila sababu kila kitu kina taratibu zake
Wakoloni walitoka kwao wakaja kututesa, kutuonea na kupokonya mali zetu kwanguvu, kama uchawi upo kwanini hatukuwaroga wafe au waugue ukoma?

Kwanini hatukuroga zile mali zirudi kwetu?
 
Mzee wangu alilorogwa, aliumwa wiki moja akafariki...familia ilikua haiamini uchawi ndio maana tulimpoteza....

nilienda kwa mganga, akanitajia aliye mroga na akaniambia mtu huyo amemtoa kafara mzee wako ili awe na pesa za kumwaga...pia huyo mtu atakua tajiri wa kutupwa baada ya msiba...lakini na yeye hata maliza mwaka ni kwamba naye atakufa..

jamaa kweli akawa tajiri, akanunua magari ya bei mbaya, akahama mtaa, akajenga nyumba ya kifahari sana. na kweli hakumaliza mwaka akafa...
uchawi upo wadau.. R.I.P FATHER.
 
Back
Top Bottom