Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kumbe hata Kiranga ni mchawiFuatilia kuna watu wanaitwa lambalamba maeneo ya nyanda za juu kusini wanafanya nini?
Pia watu ambao wanasema hakuna uchawi mara nyingi hao ndiyo wachawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata Kiranga ni mchawiFuatilia kuna watu wanaitwa lambalamba maeneo ya nyanda za juu kusini wanafanya nini?
Pia watu ambao wanasema hakuna uchawi mara nyingi hao ndiyo wachawi.
Haiwezekan mkuu Kama hujamshika Mungu au huna nguvu zozote Basi utateswa SanaIsiyo na wasiwasi maana unapokua muoga na uchawi ndio unajikuta Kua mhanga wa uchawi zaidi.
Unaweza kuumwa tumbo kawaida ukajihisi umepigwa ata zongo(kimbola) so wasiwasi unazidi kukuponza na uchawi
Uchawi upo. Ila ukikosea sana kwenda kwa mganga. Huhitaji kwenda kwa mganga ndipo ujue mtu karogwa. Ukiwa na akili timamu, ukategemea nguvu za Maulana, hutashindwa kutambua jinsi mashetani yanavyotenda kazi.Mzee wangu alilorogwa, aliumwa wiki moja akafariki...familia ilikua haiamini uchawi ndio maana tulimpoteza....
nilienda kwa mganga, akanitajia aliye mroga na akaniambia mtu huyo amemtoa kafara mzee wako ili awe na pesa za kumwaga...pia huyo mtu atakua tajiri wa kutupwa baada ya msiba...lakini na yeye hata maliza mwaka ni kwamba naye atakufa..
jamaa kweli akawa tajiri, akanunua magari ya bei mbaya, akahama mtaa, akajenga nyumba ya kifahari sana. na kweli hakumaliza mwaka akafa...
uchawi upo wadau.. R.I.P FATHER.
Ukishaingia kwenye mtego wa uchawi & ushirikina, basi tegemea tu rehema za mkuu wa giza --- Iblisi; ndiye mwamuzi wa upande gani ushinde, kwa ajili ya kufanikisha mipango na malengo yake.Wakoloni walitoka kwao wakaja kututesa, kutuonea na kupokonya mali zetu kwanguvu, kama uchawi upo kwanini hatukuwaroga wafe au waugue ukoma?
Kwanini hatukuroga zile mali zirudi kwetu?
Mtu anaweza kuwa jasiri na shupavu kama Amina Chifupa, lakini bado akalogwa tu. Dawa ya kupambana na ushirikina ni kuwa na ulinzi wa Mola. Mengine yote ni misamiati myeusi.Isiyo na wasiwasi maana unapokua muoga na uchawi ndio unajikuta Kua mhanga wa uchawi zaidi.
Unaweza kuumwa tumbo kawaida ukajihisi umepigwa ata zongo(kimbola) so wasiwasi unazidi kukuponza na uchawi
Wapo watu wengi tu yaani ambao wamerogwa bila sababu. Kikubwa jizungushie moto wa paradiso hapo utapona.Huwezi kuroga bila sababu kila kitu kina taratibu zake
Inabidi Iblis Bin Shetan na Kiranga wakapanunue waishi kabisa maana ni wabishi kama nguzo za Platinamu.Pale ununio stand kuna eneo haliuziki kila anayenunua anashindwa kuendelea na ujenzi eneo lishauzwa zaidi ya Mara 6 inasemekana wauzaji wa kwanza wana mgogoro
Wengine huwa si wachawi, ila tu ni kwa vile hawajui hata maana ya uchawi ni nini. Wanajuaga uchawi ni lazima urogwe mguu wa kushoto uhamie begani ndipo waamini. Uchawi umezagaa kila mahali sana tu. Watu wameufanya sehemu ya maisha ndiyo sababu wanashindwa kujua kama upo au.Watu wanaokuambia uchawi haupo ndo wachawi wenyewe hao wanakwepa kuzungumziwa.
Sababu hazitakaa ziwaishie nyie watu. Usione chongo ukaita kengeza. Jua ugonjwa huo ndio uchawi wenyewe, ebo!huo ni ugonjwa upo,mtu anatembea anatoka hadi nje akiwa usingizini
Umeandika mafingofingo tu, wala hata hujajibu hata hoja moja. Matukio hayo yote (na mengine mengi) yametokea sana tu na kuthibitishwa kuwa hayawezekani kwa namna ya kawaida & kisayansi. Labda wewe mwenzetu unatokea Sayari ya Mars.watu wanaua albino kwa ujinga tu kama mlio nao nyinyi kuamini vitu ambavyo havipo wafatilie hao walioua albino utakuta utumbo mtupo hakuna lolote,huko migodini na baharini ni imani tu ila ukienda hukuti lolote zaidi ya hearsay,wanawake kupata mimba na kuharibika ni jambo la kawaida la kisayansi akienda hopsital ataambiwa tatizo,mtu aliyelala akaamka amevuliwa nguo huo ni ugonjwa wa kawaida unaitwa symbulism kama sijakosea,yani mtu anaamka anatembea anatoka hadi nje akiwa usingizini halafu asubuhi hakumbuki,kunajisiwa ni nuongo otherwise uniambiwe wewe ushawahi kunajisiwa ila kama umehadithiwa tu endelea kuhadithiwa
Mkuu, Kinapatikana wapi hicho kitabu?Sasa hapo hujaona utendaji ni UMEAMINI TU
Sikiliza Mkuu, Imani yoyote inaweza kubadilisha dunia yako au maisha yako.
Unavyoamini ndivyo inavyokuwa katika akili na ufahamu wako.
Nakushauri kuanzia kesho katafute kitabu cha Lister Sumrall kinaitwa ''FAITH CAN CHANGE YOUR WORLD''
Kuna chapters zitakusaidia sana.
Ndugu msomi unalizunguziaje hili tukio la mtoto alie kufa miaka 14 iliyopita amepatikana makubulini akiwa hana uwezo wa kuongea [emoji441]watu wanaua albino kwa ujinga tu kama mlio nao nyinyi kuamini vitu ambavyo havipo wafatilie hao walioua albino utakuta utumbo mtupo hakuna lolote,huko migodini na baharini ni imani tu ila ukienda hukuti lolote zaidi ya hearsay,wanawake kupata mimba na kuharibika ni jambo la kawaida la kisayansi akienda hopsital ataambiwa tatizo,mtu aliyelala akaamka amevuliwa nguo huo ni ugonjwa wa kawaida unaitwa symbulism kama sijakosea,yani mtu anaamka anatembea anatoka hadi nje akiwa usingizini halafu asubuhi hakumbuki,kunajisiwa ni nuongo otherwise uniambiwe wewe ushawahi kunajisiwa ila kama umehadithiwa tu endelea kuhadithiwa
Huo ugonjwa mnaugua family nzima mna amshana kwenda kulala nje?huo ni ugonjwa upo,mtu anatembea anatoka hadi nje akiwa usingizini
Mwanza pale mitaa ya miti mirefu karibu na hospital ya Aghakan kuna eneo haliuziki lina miaka, ni mjini kati sehemu ya biashara kabisa ila pako planePale ununio stand kuna eneo haliuziki kila anayenunua anashindwa kuendelea na ujenzi eneo lishauzwa zaidi ya Mara 6 inasemekana wauzaji wa kwanza wana mgogoro
Kuna mtoto wa rafiki yangu alipotea mara ya kwanza three days akaja okotwa porini na wachana mbao, alipoulizwa alikua wapi anasema hajui ila ameacha wenzake, last year alipotea one week alitafutwa mpaka wakakata tamaa kwamba atakua amekufa na kumbuka baada ya kupotea mara ya kwanza alipopatikana wakaanza kumfungia ndani hata shule wakamwachisha kwa muda, siku hyo walisahau kufunga mlango na watu wote wako kazini house girl yuko uani anafua dogo akachomoka akapotea, tulienda kwa fundi mmoja hv tukamwelezea akasema huyo mtoto bado yuko hai na anarudi, ndani ya dakika chache mke wa jamaa anapiga cm mtoto karudi ilikua saa mbili usiku anaulizwa ulikua wapi anasema alikua porini wanavuna karanga na amewaacha wenzake wanaendelea yy ameshamaliza, dogo alipelekwa kwa fundi akatengenezwa mpaka leo yuko vizur afungwi kamba hapotei na shuleni wana evening prepo anaenda na kurudi mwenyewe usiku, so uchawi upo nimeshuhudia kwa macho.Mimi nilikuwa sinaga Habari kabisa na uchawi, lakini yalivonikuta hadi mji wangu mwenyewe nikaukimbia.
Nawaza narudi vipi kwenye boma langu
Kiranga mwambie kabisa, hili swala huwa anakataa kabisaKuna mtoto wa rafiki yangu alipotea mara ya kwanza three days akaja okotwa porini na wachana mbao, alipoulizwa alikua wapi anasema hajui ila ameacha wenzake, last year alipotea one week alitafutwa mpaka wakakata tamaa kwamba atakua amekufa na kumbuka baada ya kupotea mara ya kwanza alipopatikana wakaanza kumfungia ndani hata shule wakamwachisha kwa muda, siku hyo walisahau kufunga mlango na watu wote wako kazini house girl yuko uani anafua dogo akachomoka akapotea, tulienda kwa fundi mmoja hv tukamwelezea akasema huyo mtoto bado yuko hai na anarudi, ndani ya dakika chache mke wa jamaa anapiga cm mtoto karudi ilikua saa mbili usiku anaulizwa ulikua wapi anasema alikua porini wanavuna karanga na amewaacha wenzake wanaendelea yy ameshamaliza, dogo alipelekwa kwa fundi akatengenezwa mpaka leo yuko vizur afungwi kamba hapotei na shuleni wana evening prepo anaenda na kurudi mwenyewe usiku, so uchawi upo nimeshuhudia kwa macho.
Huyo mbishi atasema ni story za kufilikaKir
Kiranga mwambie kabisa, hili swala huwa anakataa kabisa
Kama hapo Victoria njia ya kwenda morocoMwanza pale mitaa ya miti mirefu karibu na hospital ya Aghakan kuna eneo haliuziki lina miaka, ni mjini kati sehemu ya biashara kabisa ila pako plane