if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK. Vizuri.Yote sawa tu hakuna asiejua yote na pia hakuna pia anaejua yawezekana ukawa unajua mengi na pia yawezekana pia mm nikawa najua kidogo
Hakika mkuu ila mbali na mambo ya Mungu kuna spiritual world ambayo inahama kidogo na haya mambo ya dini ila iko na nguvu zaidi ya uchawi na ndio maana nikasema ni roho ya kijasiri kukabiliana nao mkuuHaiwezekan mkuu Kama hujamshika Mungu au huna nguvu zozote Basi utateswa Sana
Kwa nini hawajenda church kumsalia?
Hakika kubwa boss.....ila swala hili la ujasiri sio ujasiri wa Kua na nguvu ya kupambana na kitu kimwili mkuu ni ujasiri katika mambo ya kirohoMtu anaweza kuwa jasiri na shupavu kama Amina Chifupa, lakini bado akalogwa tu. Dawa ya kupambana na ushirikina ni kuwa na ulinzi wa Mola. Mengine yote ni misamiati myeusi.
Mkuu maji hayapimwi na kidole [emoji28][emoji28]Mkuu kuna nyumba huku inapangishwa, huwa watu hawamalizi week wanakimbia.. njoo na roho ya kijasiri mkuu me unipe hela ya udalali tu
Hamna uchawi, ni imani yako!Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea
Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Ni sawa na kurekodi ndoto ya mtu uione kwenye video, haiwezekani, hata mtu akirogwa bado ipo gizani ndio mana hata ukienda hospitalini utaambiwa mashine haziwezi kugundua chanzo cha ugonjwa wako
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Hapo zamani sijui kama sikuhizi bado vipo, Mashuleni ya porini huko boarding visa vya wanafunzi kukutana na vibwengo ilikuwa ni kawaida sana
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Kwa mujibu wa maelezo yako natoa aina mbili za defnOK. Vizuri.
Tuanze na definitions. Uchawi ni nini? Unajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi?
Mababu zetu walivyoona teknolojia ambazo hawakuzijua, kama vile radio, au watu wengine kuweza kutabiri kupatwa kwa jua, waliona huo ni uchawi.
Leo tumeelewa sayansi vizuri, tunajua huo si uchawi ni sayansi tu.
Sasa, utajua vipi kwamba kitu unachofikiri ni uchawi wewe leo ni uchawi tu, na hujaghafilika kwa vitu usivyovijua kama hao mababu zetu?
Kwa hiyo mtu anayejua mienendo ya jua na mwezi, akaweza kutabiri jua litapatwa tarehe fulani, huyo ni mchawi?Kwa mujibu wa maelezo yako natoa aina mbili za defn
Ya kwanza uchawi ni elimu ambayo mtu hana uelewa juu ya jambo fulani yaan akili yake inashindwa kutambua nini kimefanyika hapa namaanisha misukule mapepo
Ya pili ni uchawi ni sayansi ambayo huwezi prove kuwepo kwake
"lakini hakuna tofauti"… "tofauti ni jinsi…"!!???Yesu mwenyewe alikuwa anafanya maajabu nyinyi mnaita miujiza lkn hakuna tofauti Kati ya uchawi na miujiza zote ni kuenfluence natural power
Tofauti ni jinsi utakavyotumia ili kuangamiza wenzako au kuuwa hapo tunasema uchawi lkn hata Yesu mwenywe alikuwa anapractise uchawi
Ngoja nimwite Astronomer
Poor definition. Eti kitu usichojua ndio uchawi???OK. Vizuri.
Tuanze na definitions. Uchawi ni nini? Unajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi?
Mababu zetu walivyoona teknolojia ambazo hawakuzijua, kama vile radio, au watu wengine kuweza kutabiri kupatwa kwa jua, waliona huo ni uchawi.
Leo tumeelewa sayansi vizuri, tunajua huo si uchawi ni sayansi tu.
Sasa, utajua vipi kwamba kitu unachofikiri ni uchawi wewe leo ni uchawi tu, na hujaghafilika kwa vitu usivyovijua kama hao mababu zetu?
But haiondoi ukweli kwamba church ndipo penye solutions. Usichanganye habari wala kudanganywa na Iblis ShetaniHuko makanisani panahitaji imani sana kupokea muujiza otherwise utapoteza muda wako bure kule. By the way, Makanisani nako siku hizi hakuaminiki sana. Kuna wanaoponya kiukweli yaani Yesu kaponya au Uchawi unafanyika huko makanisani.
Ndo vitu gani umeandika sasa hapa!?? Je uchawi unaelewa maana yake???Hamna uchawi, ni imani yako!
Ndio maana ccm wakaamua kuongozwa na mshikirinaMuwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea
Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Ni sawa na kurekodi ndoto ya mtu uione kwenye video, haiwezekani, hata mtu akirogwa bado ipo gizani ndio mana hata ukienda hospitalini utaambiwa mashine haziwezi kugundua chanzo cha ugonjwa wako
Binafsi nilikaa nyumba moja, ikifika saa saba kuna vishindo mithiri ya mtu anakwangua ukuta kwa nondo, na hii ilikuwa kwa wapangaji wote ila ukitoka nje kucheku huko nyuma hakuna kitu.
Ni mpaka siku moja mida hio saa saba kikalia kishindo kikubwa sana paaaa! juu ya bati kila mpangaji alitoka nje ila hakukuonekana kitu, baada ya kufatilia kumbe kuna mlangaji moja alikuwa anateswa na hawa watu usiku, babu yake alikuja siku hio hapo na kuweka mtego wake.
Tukio lengine kuna mtoto moja alikuwa na miaka mitano alikuwa mzima wa afya, ghafla akawa kipofu, kiziwi na hata kushindwa kuongea, Wazazi wake wakagundua hii hali si kawaida, walimpeleka hospitali nyingi muhimbili, kcmc, n.k ilibidi apelekwe kijijini kwa mzee wake, siku hio hio walirudi na mtoto akawa hali ya kawaida kabisa
Hapo zamani sijui kama sikuhizi bado vipo, Mashuleni ya porini huko boarding visa vya wanafunzi kukutana na vibwengo ilikuwa ni kawaida sana
Mwengine nakumbuka alivimba sana miguu, walimsihi sana waende kwao kuchekiwa ila alikua haamini hvi vitu, hata miezi miwili haikufika tukamzika.
Aisee!??? Hata ungejaribu "kugugo" basi kidogo upanue maarifa yako.Kwa mujibu wa maelezo yako natoa aina mbili za defn
Ya kwanza uchawi ni elimu ambayo mtu hana uelewa juu ya jambo fulani yaan akili yake inashindwa kutambua nini kimefanyika hapa namaanisha misukule mapepo
Ya pili ni uchawi ni sayansi ambayo huwezi prove kuwepo kwake
What is your definition of "uchawi"??? Maana siyo nadharia, hii kitu ni almost beyond reality.Kwa hiyo mtu anayejua mienendo ya jua na mwezi, akaweza kutabiri jua litapatwa tarehe fulani, huyo ni mchawi?
Unahakikishaje uchawi upo kweli na si hadithi za watu tu zinazotokana na ujinga wao wa kutojua mambo kama sayansi na saikolijia?
Kesho namtuma Mshana aje akucheck bila wewe kujuaHizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi) uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Ndo vitu gani umeandika sasa hapa!?? Je uchawi unaelewa maana yake???
Tuanzie hapo.
ashukuru mungu gani? hawa wa hivi ndo wachawi haswaaa!! usiwaone poa!! hizi ndo tabia zao kutoteza watu!! nilisha muona hapa kwa matunguli yanguShukuru Mungu hivyo ulivyo
thubutuu pale ndo uchawi umelala ukapitiliza nyumaKama Uchawi upo wewe roga ile mali yooote ya Bakhresa iwe yako. Msilete ujinga hapa uchawi ni ujinga.