Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EPA=External Payment ArrearsNahitaji kuelewa EPA ni nini? Na huo mkataba wa EPA ulikuwa na masharti yapi. Nahitaji kujuzwa kwa ufupi ili nami nipate uelewa juu ya hilo.
Kichwa chako kipo vizuriDuh hapo ndio ninapochoshwa na wasomi wa nchi hii, inakuwaje mpaka leo hamjafanya utafiti kujua faida na hasara za EPA? Kichekesho cha hali ya juu. Kweli kabisa mwenyekiti wa chama unatoka kwenye mkutano unajisifu kuwa hamjui faida au hasara za EPA na kujipa muda zaidi? Kama hakuna faida kwa nini msionyeshe msimamo na kukataa na kama kuna faida kwa nini msikubali? Je hili suala la EPA limekuja Ghafla? Nyie wanasiasa a wasomi msiofanya utafiti na msiojua wajibu wenu ni mizigo na majanga ya kitaifa. Kufanya utafiti kuhusu EPA mnaitaji miezi mitatu, are you serious?
Tunaweza kubadili msimamo pale ambapo madai yetu ya msingi yatafanyiwa kazi...LOL!!
..lakini sisi tulisema HATUTASAINI na mkataba huo UTATUUMIZA KIUCHUMI.
..and it took us a long time to arrive at that decision.
..tukibadili uamuzi huu basi Tz itakuwa " imeonyeshwa njia."
..zaidi tutakuwa tumekubali KUONGOZWA NA KUSALIMU AMRI KWA NCHI MAJIRANI.
Kwa msimamo alionyesha kuhusu kukataa kusaini mkataba wa EPA kama nchi ndani ya jumuia ni wa kuigwa na viongozi wengine Tanzania.
Maslahi ya Tanzania Kwanza ya mtu binafsi badae.
Huu ndio uzalendo.
Asante mtoa mada. Hivi huyu Anna Mghwira ndiye aligombea urais uchaguzi mkuu wa mwaka jana (2015) kupitia ACT Wazalendo au ni mwingine?
kila nchi teyar ina maamuz yake ktakachofanyika katkat hapo nadhan ni negotiations za kdiplomasia ya uchumiDuh hapo ndio ninapochoshwa na wasomi wa nchi hii, inakuwaje mpaka leo hamjafanya utafiti kujua faida na hasara za EPA? Kichekesho cha hali ya juu. Kweli kabisa mwenyekiti wa chama unatoka kwenye mkutano unajisifu kuwa hamjui faida au hasara za EPA na kujipa muda zaidi? Kama hakuna faida kwa nini msionyeshe msimamo na kukataa na kama kuna faida kwa nini msikubali? Je hili suala la EPA limekuja Ghafla? Nyie wanasiasa a wasomi msiofanya utafiti na msiojua wajibu wenu ni mizigo na majanga ya kitaifa. Kufanya utafiti kuhusu EPA mnaitaji miezi mitatu, are you serious?