Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

Nyoo eti kupevuka kiakili😂😂😂
 
Kua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.
0
Watoto wanaumia sana kihisia kuishi na mzazi mmoja.
Hakuna kitu kigumu kama kukubali uhalisia. Jamii itahukumu tu kulingana na mapokeo. Huyo huyo S.M utamkuta anataka mwanaume mwenye pesa, hataki "kukubali uhalisia" kwamba riziki ni majaliwa.

hahaa ephen unaujua mkeka wa odds 100? ndo single mother sasa.
 
Kua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.

Watoto wanaumia sana kihisia kuishi na mzazi mmoja.
Kabisa. Ndio maana huwa siwaelewi watu wanaoamua kuwa SM by choice, huwa naona ni ubinafsi uliokithiri. Sawa wewe hutaki mwanaume, vipi kuhusu mtoto? Naye hataki baba? Ila kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuamua nini afanye na maisha yake tunaheshimu maamuzi yao
 
Na wengine wanaolewa ni waislamu ndio huwa hawana shida na kuoa single mother tena wanaolewa kuanzia mke wa pili
Umeanza kubadili gia angani, umekuja kwenye dini🤣🤣🤣 huyu anayefanyiwa kitchen party ni muikristo
 
Watu wanapiga tu makelele nyuma ya keyboard ila huku mtaani wanaolewa zaidi singo maza kuliko wasio na watoto
Na huo ndio ukweli, niliwahi kusikia kuna makabila kama wasukuma na wajaluo wanaoamini watoto ni utajiri hua wanapenda kuoa single maza ajazie utajiri wake, lol
 
Kua SM sio kitu cha kujivunia kabisaa lakini muda mwingine mambo hutokea na hakuna la kufanya zaidi ya kukubali uhalisia.

Watoto wanaumia sana kihisia kuishi na mzazi mmoja.
Ni kweli, wazazi wanapoachana wanaoumia na kuathirika ni watoto,
Lakini jamii inavyomponda mzazi mmoja wa kike kwa kusimama na watoto wake huku yule wa kiume akionekana ni shujaa kwa kutelekeza uzao wake, inashangaza sana
 
Ndio wanaolewa, ila unyanyapaaji upo! Kiujumla wanaoolewa ni wachache kuliko wasioolewa.
Unyanyapaaji upo kwenye mitandao tu, ila kwenye uhalisia sijawahi kuona single maza ananyanyapaliwa kwa kua single maza labda awe ni binti aliyekua anasoma akapata ujauzito lazima wazazi wareact
 
Naswiat ni Single maza wa watoto 5 kaolewa na kijana m'bichi kwa raha zake.

Humu jf wengi wameoa Single mama ila wakilog in humu wakavuuu..!
Achana nao hao mataahira. Mwanamke kuwa na mtoto wala siyo hoja. Eti oooh umeoa mke wa mtu, kwani kuchovya ndiyo kuoa? Kama ni hivyo basi wote tumeoa wake za watu, maana kila mmoja alikuwa na wa Kwake huko kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…