Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Story za kupikwa wewe hauzijui? Lazima mpishi ajichanganye tuDr, Harusi ya mjerumani na pilau? Wale ni mashroom soup, Baiersbronn, Beluga caviar na mambo kama hayo. PILAU? Na vijiti vya meno?
Kukutana na wa kufanana nae imekaa ki-fantasy zaidi mzee mwenzangu. Muhimu ni kucheki tu vigezo muhimu mambo mengine madogo madogo utamtengeneza njiani. Ndio maana tunasisitiza kuoa binti akiwa bado mdogo kwa sababu huyu unaweza kum-mold vile unataka awe, lakini street veteran wa miaka 30+ huyu tayari ni samaki asiekunjikakufanana haiondoi udhaifu, maana hakuna mkamilifu ili kuna kubebeana udhaifu kwa moyo safi na maisha yanaenda
Nitakushtua jirani yangu kiufupi nitakupitia twende woteMualiko muhimu... tushtuane kwenye kula ubweche.
Umesoma juu juu sana, rudia kusoma tena kwa utulivuDr, Harusi ya mjerumani na pilau? Wale ni mashroom soup, Baiersbronn, Beluga caviar na mambo kama hayo. PILAU? Na vijiti vya meno?
Kuishi kwa upendo na amani, uvumilivu, heshima na uaminifu, mahaba na kuifinyia kwa ndaniKwenye hizo kitchen party huwa mnafundishana Nini?
Hahahaha,hata Mimi nimeona hiliPoint za mtoa mada ni harusi ya kifahari, pilau tamu na mume wa Germany. Sisi tunaangalia maisha ya ndoa, wao wanaangalia harusi.
Mzigo gani ukioa single maza hua utalazimishwa kumbeba mtoto ake kichwani?Ishu n kuzaa na mwanaume mwingine afu uje umbebeshe mwngn mzigo wenu
Pyeeeeeeeeeeeeeee! Point ya mtoa mada ni single maza wanaolewa sana je ni mashindano au kuna nini wanetu wameona huko? hayo ya ufahari umeyaona wewe na ufukara wako, upooooooo๐๐คฃ๐คฃPoint za mtoa mada ni harusi ya kifahari, pilau tamu na mume wa Germany. Sisi tunaangalia maisha ya ndoa, wao wanaangalia harusi.
Dua la kuku๐คฃ๐คฃ huo mwaka unaompa mpemba tayari wana mtoto na kijusi kingine tumboniNampa mwaka mpemba ndio atajua kwanini kujenga kwenye kiwanja cha WATU n hatari
Hii kazi ya wengine kubomoa then ujenge wewe tena kwa gharama nzito inayohusu kufix hisia za mtu mwingine, ni kazi kwelikweli. Mda mwingine bora kujiepusha tu.Kujielewa kwa single mother, kunakuja tu pale anapo ponywa nafsi yake kutokana na machungu aliyopitia. Kama hajaponyeka hisia zake na moyo wake, cha moto utakiona ( huwa wanakuwa bado wana lile wenge ), wanapoteza imani inakuwa anaona kama kila mwauame ni kama alie mteleleza. Ukimpenda single mother akikisha moyo na hisia zake unaziponya zikae sawa, bila hapo hutoboi nae ๐๐
Huu msumari ulitakiwa uwe pinned pale juu, smart girl๐ฅฐ1. Nikisema ndoa zinafungwa namaaninisha ndoa zote, hao wasiokuwa na tatizo na SM ni wanaume au sio wanaume? Ndoa ya mke wa pili ni ndoa ama sio ndoa?
2. Ukisema single mothers ni wengi mtaani maana yake na single fathers wapo pia au wao wanawake wanazaa na wanawake wenzao? Kama ninavyomuona single mother ni mwanamke kama wanawake wengine ndivyo hivyo hivyo nawaona single fathers ni wanaume kama wanaume wengine. Unaposema 'labda waislamu' , 'labda aolewe na single father' unamaamisha wao ni mabaki ya wanaume au unamaanishaje?
3. Mwanaume asiye na akili hata yeye akiwa na mtoto bado atataka kuoa asiye na mtoto. Yaani kwao tatizo la single parenting lipo kwa wanawake tu.
Mda mwingine bora kujiepusha tu. Nakuunga mkono.Hii kazi ya wengine kubomoa then ujenge wewe tena kwa gharama nzito inayohusu kufix hisia za mtu mwingine, ni kazi kwelikweli. Mda mwingine bora kujiepusha tu.
Yaani mtu aache kuoa mwanamke mzuri kisa nini amezaa hao watoto wanawabeba mgongoni? hehehe Mpemba yupo sawa hajataka kujidhulumu nafsiMuoaji nae nyegeboy tu, imagine unawaomba wazazi wakutafutie mke wametafuta wakapata gafla unatumiwa picha ya mwanamke mwingine unabadili gia angani.
Mtaji wa single mother ni wanaume dhaifu, wanaume wasio na option na wageni wa mambo ya mahusiano....chunguza popote select wanaume watano waliooa single mother.
Walioolewa hawaachani? wakiachana bado mnawavurumishia mawe na kuwaita majina, huu mchezo hauhitaji hasiraSingle father huwa hawathiri kama vile single mother maana uchungu wa mtoto anao mama zaidi kuliko baba na Ndio maana tunahasa mwanadada asizae na mwanaume ambaye hajaolewa nae tukifumbia hili maana yake tutazidi kuzalisha single mothers wengi zaidi
Walai sio utani wala chai, single maza wanaolewa nyie hadi natetemeka๐๐๐hahaa mkuu! unataka kusema kwamba Dr. ameandika chai?๐
Mimi nilishapata mmoja alikuwa na mtoto mmoja. Nikambandika wawili ila aisee nakubali hawanaga chakupoteza. Single mother kufix maumivu yake ni kazi ya ziada sana maana naongea kutoka na uzoefu nilioupata kwa wanawake wenye watoto tayari. Mkizinguana kidogo tu anakwambia sishindwi kulea wanangu kama ulinikuta na mtoto na nimemlea mwenyewe siwezi kiwashindwa so pita hivi na sahau kama ulishakuwaga na mm na hesabu huna watoto na mimi.๐ ๐ ๐ ๐ Single mother hawana chakupoteza.๐๐Mda mwingine bora kujiepusha tu. Nakuunga mkono.
Mie mwenye kuna mmoja nilichoka, maana kwanza wana viburi kweli kweli, inabidi ukifanye fala sana ili uende nae
Kama matiti hayajalala kama Ulimi wa mbuzi au malapa na mwili kufutuka kama tembo na wewe ukaolewe....uache kusaganaWalai sio utani wala chai, single maza wanaolewa nyie hadi natetemeka๐๐๐
Kabisa Dr. Kuna mtu ameshaninyoosha huko juu.Umesoma juu juu sana, rudia kusoma tena kwa utulivu
Mna hasira hadi mada mnaisoma juu juu, ndio maana nawaambia kila siku wanaolewa bhana ๐ฌ๐Story za kupikwa wewe hauzijui? Lazima mpishi ajichanganye tu